Search results

  1. I

    Msaada juu ya iBook G4

    Natumia laptop tajwa hapo juu window Mac os x 10.5.8, kunabaadhi vitu nashindwa kuzifungua na kuinstal kwa mfano nimejaribu kufungua joinAir inaniambia ( there is no default application specified to open the document " ZTE-Join-Air-1.0.rar" ),Nokia PC suite inaniambia ( the movie could not be...
  2. I

    Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

    We jamaa ni mkali, nakumbuka nimekusumbua sana katika kuniwezesha niweze chakachua modem hii ya voda,kila ukinisaidia nilichemka labda kutokana na uslow-learner wangu ama machine ninayotumia but this time you got me!yaani kilichokua kinanikimbiza ni gharama zao sasa ni bata na naomba wa-stay...
  3. I

    Nina modem yangu ya vodaphone K3571-Z nataka ku unlock ili nitumie line ya zain nitaf

    Mim kwang haya mavitu baada ya kudowload hayafunguki, kila ni kijaribu inaniambia Safar can not open this because there is no application to open it,so hata sielew nifanyeje!natumia window ya Mac os x.
  4. I

    Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

    Dizaini yako hata kwetu mpo!
  5. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    Ok nimdownload hiyo bt imeapia kama virus vle kila nikijarib kufungua inanimbia it is not video file can not be opened,nahisi labda ni window yangu,mwenye kama yangu anisaidie natumia iBook G4 window Mac os x version 10.5.8
  6. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    Mi nimefanikiwa kudownload ila kwenye kuinstall ndio tatizo sijui nifanyaje, ama kuna progame maalum ya kufungulia ambayo nahitaji kua nayo!
  7. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    ok nakusikilizia mkuu,inawezekana nikfanikiwa
  8. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    mkuu nimejaribu fanya hivyo,inaniandikia Unexpected error during process Authentication:- No user found with such email
  9. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    Fatma bado napata tabu,nikifungua inanipa option ya kununua na kuna sign up ama ni mpaka ni sign up?
  10. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    Mbona nashindwa download,mi natumia Mac iBook G4,nikufungua hiyo link inaniwekea kibox katka chenye option ya Add to my account,More sharing options na copy file to clipboard kwingine kote kupo inactive.Modem ninayotumia ni vodafone K3571-Z.
  11. I

    Msaada, modem ya vodafone ZTE

    Samahani nadandia,vp nikitaka modem yang iweze kuingiza line zote nafanyaje na wap naweza pata huo msaada?
  12. I

    Eti Wachina ni wazinguaji kwenye Malipo?

    we unasema graduate analipwa lak 4!hakuna kitu kama hicho mi nilifanya field mwaka jana graduate diploma alikua anachukua 80elf,advance diploma walikua wanachezea kwenye lak 1 had lak 2,wale wa kwenye machine yaan vbarua walikua wanachukua k2 cha 80elf wote.Kwa urafik jamaa niwanyonyaj...
  13. I

    Kwa graduates msio na ajira ....faraja..

    yah nadhan alikua anamaanisha hivyo!ni kwa magadruate walioingia tu kazin wavtunze vjifedha vyao kuja kufanya issue hiyo,pia mazngira ya kijijn kwao yalimruhusu,issue ya kilimo inategemea mazngira bwn!
  14. I

    Kwa graduates msio na ajira ....faraja..

    Sure! means ya kupata hiyo hela kwa urahis ni kwa mkupo tu,napataje sasa wakat sina kitu wala dhamana yeyote,hali mbaya!fanya mchanganuo na hapo mkuu!
  15. I

    Aibu ya mwaka; Bunge letu linapoenda garagazwa na Rais JK

    Yah inawezekana coz kwa mara ya kwanza nimemsikia mtu wa zaman wa CCM kutokukubaliana kabisa na mchakato wa katiba ulivyoenda,ni mzee Kitine nilimsikia Tbc kwenye This week in Pespective,nampenda huyu mzee coz kidole hua anakiita kidole na wala sio moja(anasema ukwel) hata kama issue imevurundwa...
  16. I

    Modem gani inafaa??

    ebwn mi nataka huo mchakuchuo,nisababishie namba yako nikuchek,coz mi ninayo ya voda ila ndo hivyo gharama ukichek bado cjaingia kwenye system basi tabu tupu,serious fanya hivyo!
  17. I

    Msaada please!

    nilibugi nikanunua moderm ya voda,ina cost sana especially kwa sis ambao hatuko kwenye system.Hivyo nilitaka kujuzwa kama inawezekana kuiflash ili niweze kuweka line ya Airtel coz wadau ndivyo walivyoniambia kua Airtel iko poa,ama mwenye kujua wap naweza pata huduma hiyo!thanks
  18. I

    Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

    yaan hapo ndipo alipo ni kera huyo kinyaa i mean mnyaa,yaan wao wajitambue kama zanzibar nch ila tanganyika iwe tu ndan ya muungano,kwa nin isisimame yenyew kama ilivyo wao?Tanganika iwepo ndan ya muungano na nani kama wao hawapo?Kama alivyo sema Lisu wamebakia kujitangazia uhuru tu.
  19. I

    Makampuni ya mafuta kwa job seekers wote

    wengine kgambon ni wagen,ni maenio gan kule yalipo hayo makampun,mkuu!
Back
Top Bottom