Search results

  1. young activist

    Revealed: Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

    Dah nilihisi k2 kama hicho especial kutokana na hotuba aliyoitoa MEENA muda mfupi baada ya waziri kufukuzwa
  2. young activist

    FFU wamezunguka Ikulu. Kuna tishio la kuvamia Ikulu?

    Bongo TANZANIA, najuta kuzaliwa hapa!
  3. young activist

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee s............................. ..............................

    Hongera CHADEMA kwa kuchukua jimbo la arumeru, mmeua big up Nassari, kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi watu hawataki porojokama za CHUKUA CHAKO MAPEMA ilo linazidi kutokea, BIG UP wana Arumeru kwa kuiamini CHADEMA, nina iman na CHADEMA watayafanya yote waliyoahidi i believe in CHADEMA...
  4. young activist

    Amnesty urges Tanzania and other African nations to arrest George W. Bush

    hamnesti intaneshino-KWANI MAKAO YAO MAKUU WAPI?,KWANI BUSHI AMEHAMIA TANZANIA AU BADO ANAKAA MAREKANI?!
  5. young activist

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Media za kibongo za kiboya!
  6. young activist

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Dah aisee inasikitisha sana,huyu jamaa amefariki! Dah R.I.P MR ebbo you will always live in my heart brazah dah tumepoteza bonge la ICON
  7. young activist

    Kova Ameruhusu Maandamano Ya Kuchangia Mradi Wa askofu Gammanywa tar 26/11/2011 !!!!!

    Hiii nchi ya ajabu sana sijui ni lini hawa watu wanaokabidhiwa madaraka wataacha kukubali kutumiwa ,,,??????????,especial sehemu kama polisi sijui ni lini watakataa kutumiwa na kufanya mambo kama sheria inavyowaelekeza maana wanatumiwa wanaenda enda tu kama maboya wanatumiwa kisiasa ,,,,, tatizo...
  8. young activist

    Kuna Mchezo Unachezwa!

    Mchezo wao wa kiboya wakacheze choon
  9. young activist

    UDSM hakufai ni vingora na mabomu

    Hawa polisi wanatuliza vurugu wanachochea vurugu, kuna uvumi umeenea kwamba polisi weng wana-beef sana na wanafunzi wa vyuoni kuna polisi huwa tunapiga nao mazoez ya soka waliniambia hivyo baada ya kumchezea faulo uwanjani aka-panic akataka kunivunja mguu akaniambia ndo maana wanatuchukia sana...
  10. young activist

    Wasindikizaji wa msafara wa Lema watawanywa na Polisi mkoani Manyara

    lema jembe go on jembe we are dozens of you behind you! Fighting for this hell to be certified heaven!
  11. young activist

    ,Mlipuko mkubwa TANESCO ubungo Dar (Hili giza la leo kiboko. )

    chanzo nin cuz wengine tuko mbali na huko ndo nyumbn! tupeni ripot
  12. young activist

    Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

    Ndo intelijensia tunayoitaka constructive sio intelijensia CHADEMA TU..........
  13. young activist

    Nape atua studio za V.O.A, Afunguka kuhusu Rostam, Lowassa na Chenge

    This country bwana , watu wanakataaa vivuli vyao mara wanavikubali sijui tutafika kweli.... maana huyu jamaa kuna kipindi alikua anakiponda kinoma sisiemu sahivi kapewa kashavu eti chama kisafi na sifa kibao sa sijui kimebadilika baada ya yeye kupewa shavu??????????????
  14. young activist

    Ofisi ya David Cameron yakataa tuhuma za kushawishi ushoga

    HUU ni udhalilishaji,,, tusikubali kuuza utu maaana kwa maana hiyo ni sawa kwamba tunaambiwa lazima tuwe machoko ndo tupewe misaada
  15. young activist

    Wakazi wa Ilala kota watimuliwa kama mbwa; damu yaweza kumwagika

    Maskini ndo nani kwenye nch hii who cares about them!? Tajiri ndo anahitajika kwenye nch hi dont you see anapigwa vita kila day!
  16. young activist

    Picha: Kufuru ya Tundu Lisu jijini Mwanza Ijumaa iliyopita

    Hao watu wawili tu je ikienda timu nzima ya chadema itakuaje si balaaaaaaaaaaaaa kizuri kinajiuza
  17. young activist

    Weeding test

    Baba nimekubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tamaa zako.
Back
Top Bottom