Search results

  1. V

    Natafuta garage ya kutengeneza body arusha!!

    Garge nzuriii ya ku upgrade garii kwa upande wa body arushaa kwa anayefahamuu tafadhaliiii anisaidiee kuniambiaa iko sehemu gani..!!.
  2. V

    Naomba kueleweshwa kuhusu mpapai dume

    Ninaombaa kufahamuu kuhusu mipapai isiyotoaa matundaa, ni hali gan inapelekeaa kuwa hvyoo?? Je kufungiaaa gunzii kwa mti kuna saidiaa kutokana na hali hiyoo? Tafadhaliii mwenye kujua jambo hili.
  3. V

    Sehemu nzurii ya kutoka out na mwenzi msaada

    Msaada sehemu nzuri ya kuwezaa kutoka out kupumzika mazingira yawe kma garden au hotel ya bei ya kawaidaa msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. V

    Naomba ushauri kwa aliyefanya business ya Saloon ya kiume kama inalipa.

    Nahitaji, kutafuta mtaji wa kufunguaa saloon ya kiume ila sijajua gharama za saloon yenye standard. Faida zake, makusanyo yake nayabana vipi kwasababu nataka kumewekaa mtu,pia ningependa kujua changamoto za biashara hiyo Ninaomba ushaurii wakuu tafadhalii!
  5. V

    Nahitaji chumba cha kupanga "self room"

    Nahitaji chumba cha kupanga chenye uzio, mita ya peke yake, au isyozidi watu 2, maji ya kutosha na maeneo kijitonyama makumbusho, tegeta tank bovu, mwenge. Bei yangu elekezi mwisho 100000 @ mwezi. My no 0682620200.
  6. V

    Msaada wa haki ya mnunuzi

    Wakuu habari zenu naombaa msadaa kuhusu jambo hili, nimenunuaa simu dukani kwa mfanya biashara tecno cx mpya nimetumiaa mda usiopungua wki mbili na nusu ikaharibika speaker kubwa ya sauti nikairudisha dukani nilipo nunuliaa na wakanielekezaa nipeleke wakala wa tecno hapa morogoro nilipopeleka...
  7. V

    jamani vipi kunaendeleaje

    huko kwenye matukio tuabarisheni jamani tujue nchi yetu inaelekea wapi jamani.
  8. V

    Ninahitaji

    Ninahitaji vitabu vinavyo husu saikolojia vyenye lugha ya kiswahli na kingereza kama unavyo basi unaweza kunijulisha na bei zake.
  9. V

    Ofa! Ofa!

    Ni katika kusherekea miaka 50 ya uhuru. Ninatoa ofa ya kula chakula cha usiku na kuburudika kwa mrembo yoyote wa jf atakayekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95. Hppy brthday TANZANIA.
  10. V

    Natafuta

    Rafiki wa kike rika lolote lile bila kubagua awe mpole, mstaarabu, anajiheshimu, awe mcheshi. Aliyekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95 mda wote inapatikana. HAKUNA KUBIP HAUTAUDUMIWAAAA....!!
  11. V

    Habari habari

    Jaman mi ndo kwanza mchanga nawaombeni kwa heshima wenye ulimwengu huu jf mnikaribisheeee!!
Back
Top Bottom