Ofa! Ofa!

VENTURECACHER

Member
Oct 24, 2011
36
7
Ni katika kusherekea miaka 50 ya uhuru. Ninatoa ofa ya kula chakula cha usiku na kuburudika kwa mrembo yoyote wa jf atakayekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95. Hppy brthday TANZANIA.
 
Wapelekee Watoto yatima hicho chakula, hilo litakua jambo jema zaidi, maana ni heli walioshiba wakawakumbuka walionanjaa kuliko aliyeshiba kumkumbuka aliyeshiba.
 
Back
Top Bottom