Search results

  1. buhange

    Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

    Hivyo vifungu ulivyoandika ni vipengele vya kuandaa mkutano wa Send-off sio maandamano. Maandamano gani yana wasanii unafikiri sherehe hiyo? Nonsense.
  2. buhange

    Natafuta mteja wa kununua TV (Screen) mbovu (iliyoharibika) niko Dar es salaam

    Habari wajumbe, Nina Screen zangu mbili, Digihome (Inch 42- black) mtumba na SON Bravia (Inch 28, Cream colour), TV hizi ni mbovu hii DigiHome ilizima tuu mwaka jana, na hii SON Bravia inaonyesha nusu kioo upande mmoja haionyeshi. Kama kuna mtu ananunua Screen mbovu naombeni connection jamani...
  3. buhange

    Tusaidiane tafadhalini hawa Paka wa Dar es Salaam ni Wanyama au Binadamu wenzetu tu?

    Hahahahahah! hiyo ndo bongo Dar es salama sisi huku koromije maajabu yetu ni kuona Harrier new Model ikipita kijijini kwetu, maisha yetu sisi usafiri kwama la ng'ombe mnyama, asubuhi kiporo cha ugali na kikombe cha maziwa mgando. Karibu kwetu
  4. buhange

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Karibuni mpolomoshe LIKES wadau
  5. buhange

    Natamani kujiua baada ya kugundua alinibambikia mtoto

    Hahahahaha maji ya ugali hayatestiwi kabisa, ohooooooo
  6. buhange

    LAPTOP FOR SALE lenovo G50 Price: 350,000/=

    Hahahahahaha Mkuu we umeona hiyo mistari tuu? 350,000 hujaiona eeeeh! hahahahaha I found Dar es Salaam kweli duuuu
  7. buhange

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Hakika Mkuu, umenena yaliyosahihi.
  8. buhange

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Hongera sana Melo na team nzima ya JF, Hapa ni nyumbani mkuu hata kama wangesema tusubiri mwaka, JF ni sisi na sisi ni JF, Viva
  9. buhange

    Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu

    Guys! hii imekaaje? Masaju alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali, role inayomaanisha kesi zote na kazi zote za kisheria related to serikali yeye ndo muhusika Mkuu, SAAAAAAAAAASA swali langu, Kama ameteuliwa kuwa Jaji wa mahakama Kuu ina maana viporo vyake (Court cases) vilivyokuwa pending huko...
  10. buhange

    Yuko wapi Mohamed Hussein Mmachinga?

    Mohamed hussein kwa sasa ni kocha anaekinoa kikosi cha soka toka timu ya wafanyakazi wa FINCA Microfinance Bank . huku pia akijishughulisha na kazi zake nyingine. Mara kadhaa anaonekana katika viunga vya TAN HOUSE Victoria yalipo makao makuu ya benki hiyo.
  11. buhange

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Guys, ni sahihi sana kwa Benki kuu kuchukua hatua dhidi ya mabenki ambayo Capital adequancy Ratio (CAR) yake inakuwa below requirement ya BOT and this be kwa manufaa ya Wateja na washikadau wengine. Ila pia hii ina matokeo yake hasi kiasi cha kutosha tuu kwa nchi kama Tanzania ambayo Engineers...
  12. buhange

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Duuuuuuuh Revocation ya Banking Lisence hatareee sana, anyway BOT wanasababu za msingi kufanya hivyo maana sababu kama critical undercapitalization zinaweka risk kubwa kwa wateja. Words lie but Numbers Dont lie
  13. buhange

    Apartment for rent

    :):):):):):):):):):):)
  14. buhange

    Hatimaye Zari abwaga manyanga

    Hahahahahahaha! nimecheka sana aiseeeeee
  15. buhange

    Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

    Hahahahahahaah! Kamugisha
  16. buhange

    Mahakama zetu Tanzania zijifunze kitu kutokana na kilichotokea Kenya hivi Punde

    HAbari wanajukwaa! Nimefuatilia kwa karibu usomwaji wa kesi na maaamuzi ya mwisho katika kesi ya msingi iliyofunguliwa na Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya NASA kupinga matokeo ya uchaguzi, na kugundua kwamba kuna haja wa mhimili wetu wa Mahakama nchini Tanzania kujifunza kitu...
Back
Top Bottom