Search results

  1. S

    Nani anafaa Kujaza nafasi za Mawaziri walio wajibishwa?

    Ahsante mkuu nkoboiboi umemjibu vizuri sana kwani hao akina muongo na uprof. Wake amefanya nn ag wako amekusaidia nn prof. Kajumulo kusaidiana na nshomile wenzake kugawana mabilion ndio elimu inaelekeza hivyo? Kiongozi ni wakuzaliwa akiwa talented sio wez
  2. S

    Nani anafaa Kujaza nafasi za Mawaziri walio wajibishwa?

    Ni mda mrefu nimekuwa nikifuatilia michango ya wabunge bungeni kwaukweli huyu mbunge christopher ole sendeka amekuwa mstari wa mbele kukemea vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma kwa viongozi wasio waadilifu. Huyu jamaa anastahili kupewa moja ya wizara
  3. S

    Zanzibar ni nchi, ila Tanganyika ni sehemu ya jamhuri ya muungano, Tanzania ipo wapi?

    Safi sana mleta mada yah! your real greater thinker JAMANI TUIDAI TANGANYIKA YETU!
  4. S

    Shule za kata ndio, umoja wa kitaifa je?

    Naunga mkono hoja kweli ili ni janga la kuleta ukabila ktl nchi hii ya Tanganyika
  5. S

    Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

    Twahda ni Mzanzibar amesha zoea hizo ngoma zao.
  6. S

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Ni dhahiri kuwa hakuna umuhimu wa kuwa na uwakilishi wa viti maalumu coz wanafanya kazi ya kulinda nafasi zao na si kwa maslahi ya Taifa.
  7. S

    Eng. Manyanya: CHADEMA si chama cha wakristo, aeleza alivyopanga kumkamata Mbowe

    Mtu kama Nkamia angerudi kwenye fani yake tu ya utangazaji amevamia siasa kwa pupa.
  8. S

    Hawa viongozi ni janga la kitaifa

    Kweli ni janga kwa Tanzania yetu.
  9. S

    Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM)Wazidi kwenda kombo.....hii ni laana ambayo itawamaaliza!

    Kweli tusihusishe dini na siasa za matusi kuna mpumbavu na mjinga kamhusisha Mtume Muhamadi na Mwl.nyerere nafikiri amewaza kwa kutumia makalio tena yenye kinyesi
  10. S

    Zungu: Wanaotaka ubunge kwanza waende JKT

    Je uzalendo ni nini? Binafsi kuna mbunge mmoja kamjibu mbunge wa kinondoni aliye daikuwa anayetaka kugombea ubunge apitie kwanza JKT ili kujenga uzalendo lakini kiuhalisia kuna wabunge wengi wa chama cha majambazi wamepitia JKT lakini uzalendo wao walio upata na ufisadi na matusi kama Lusinde...
  11. S

    Moto wa gesi wavuka mipaka -elewa wanachosema wajuao

    kwa hilo ni uwongo hapo Sita ni sawa na kumwambia mtoto kavae viatu uje tuondoke akienda tu wewe unamkimbia. Kwali hufai kuwa mr. Presidaa utahamishia rasilimali za nchi tabora kweli pia hata wewe ni gamba
  12. S

    Serikali yasambaza fomu za uidhinisha gesi itoke Mtwara kwa wanafunzi

    wewe usiwe muoga kama ni ukombozi wa wanakusini utaletwa na wanakusini wenyewe sio policcm na virungu vyao tuungane kumpinga huyu adui wa maendeleo ya wanakusini (ccm)a.k.a chama cha majambazi
  13. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kweli mi makuunga mwili Lowasa ni kiongozi mwenye msimamo swala la ufisadi alitolewa kafara watanzania hebu tufikiri ni mangapi ameyafanya ndani ya mda mfupi alioka ktk kiti cha uwazir mkuu? Je kwani prizdaa hakuona hilo la mikataba au tuseme mikataba inafanywa kwa siri bila mkuu kulitambua...
  14. S

    Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

    Sitta ni jembe lisilo pingika kama unbisha bac wewe si muelewa bora ukae kimya Simba Mzee
  15. S

    Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

    Nikweli kabisa wakati mwingine Watanzania tusiwe kilakitu ni ndio mzee kwani ni kama kuwa watumwa wa mawazo. Kumbukeni wakati akiwa mwenyekiti katika kamati ya kumchunguza Lowasa alikuwa anang'ara lakini after kupata uwaziri akaficha makucha leo anaumwa anajidai anasiri nzito mbona asiseme siku...
  16. S

    Mwenendo wa Tanzania kiuchumi

    Hivi Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi coz badala ya maisha kuwa bora yana kuwa bora maisha sasa tunaelekea wapi mafuta yakula pia ya kuendeshea injini bei inazidi kupanda bei ya vyakula juu sijui tutafika kweli?
  17. S

    Hodi uwanjani

    Ha ha ha ha ha! Sawa mpita njia nimekusoma mwana
  18. S

    Hodi uwanjani

    Hivi ****** na masai nani fisad?
  19. S

    Hodi uwanjani

    Hivi ****** na masai nini fisad?
Back
Top Bottom