Search results

  1. Mkuna mgongo

    Sijui tatizo ndiyo hili au kuna lingine?

    Ni hivi, nina mke na mtoto mmoja. Katika maisha yangu nimekuwa vizuri katika swala la kuzagamuana alaf napenda sana huo mchezo. Sasa mke wangu kaanza kuumwa mwezi wa nne kiasi cha kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hii ikanfanya niwe nalala tofauti na yeye ili kuepuka kishawishi nikamvamia...
  2. Mkuna mgongo

    Achana na Mwanachuo!

    Hamjambo wanajamii, Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu. Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala...
  3. Mkuna mgongo

    Msaidizi wa kazi za ndani aliyeuteka moyo wangu

    Penzi la beki tatu sehemu ya 1... Iman yangu wazima nyote! Sikuwahi kuandika chochote humu ingawa ni msomaji mzuri wa nyuzi humu jukwaan hasa jukwaa hili. Mimi ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali ambapo hapo ofisini nafanyakazi na madam ambaye anaishi katika nyumba za taasisi...
Back
Top Bottom