Wagonjwa wenye matatizo ya moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu, figo na saratani wameshauriwa kuhudhuria kliniki zao bila kukosa ili kuepuka kupata madhara ya kiafya ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha.
Rai hiyo ilitolewa jana Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya...
Alipomaliza kuletewa kila kinachohitajika kwa ajili ya kuandaa chakula cha KARAMU ile, yule Mpishi mkuu msaidizi akafurahi sana.
Kisha akawaagiza wahudumu wake waweke kila aina ya viungo ambavyo wanadhani vitanogesha chakula.
Na wao bila kutafakari wakatenda kwa kadri kila mmoja alivyoagizwa...
Aliyekua kamanda wa kikosi cha ulinzi wa Rais{ Republican Guards}, nchini Ivory Coast amehukumiwa miaka 18 gerezani kutokana na mauaji ya mwaka 2011 mjini Abdijan.
Brunot Dogbo Ble na wengine tisa walipatikana na hatia ya utekaji nyara na mauaji ya wanaume wanne wakiwemo raia wawili wa Ufaransa...
Kuna habari ambayo bado ni tetesi kuwa Diwani wa kata ya Kilole Korogwe Mji ambaye ni motto wa Mbunge wa Korogwe Vijijini Mh. Steven Ngonyani aka Maji Marefu ameacha Udiwani baada ya kuona hauna faida kama alizozifikiria.
Diwani huyo Mh. Thamas au Toma alikuwa ni Diwani aliyechaguliwa kwa kura...
Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu kuvamiwa kwa shirika lililokuwa likigawa vilainishi Shinyanga
Install APP ya Siasa Huru Kwenye Simu yako Kwa Kubonyeza HAPA Wizara imepokea taarifa kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Shinyanga imevamia ofisi za shirika la Jhpiego mkoani humo na kukamata...
Salaam wadau..nimefuatilia mwenendo wa Bunge japo vipande vipande kutokana na fursa ndogo ninayoipata nimeshindwa kugundua pia kufumbua hili fumbo..hivi nani anamsimamia mwenzie kati ya Serikali na Bunge katika mfumo wa siasa za vyama kushika hatamu katika maamuzi kwa ujumla?
Naamini katika...
Natamani tupate Rais asiyependa kusafiri maana tunapoteza fedha nyingi kuliko zile faida ambazo tunazipata kutokana na Ziara.
Kwanini hawa wanaomwalika Rais wasitoe gharama za usafiri na mambo mengine akifika huko? Kwa maana nimesikia Rais wetu amealikwa Australia na Generali mstaafu wa jeshi...
Hapa sasa uwani wanapigwa watu picha na kuandikishwa majina ili watengenezewe vitambulisho vya CCM. Kumbuka hili zoezi lafanyika kwa siri na wanakusanywa watu wanadhani ni vitambulisho vya kupiga kura kumbe ni kadi za CCM zianzoandikishwa kwa ulazima ili mgombea aliyeratibu zoezi hili apate kura...
Wataalam. Mwili wangu unawasha mnoo yaani hasa wakati wa jioni nikiwa nyumbani. Sehemu mbali mbali huwa zawaasha sivimbi mwili ila nawashwa kama vile nimegusa upupuuu.
Msaada katika hili
Juzu juzi hapa Rais wa Jamhuri ya Tanzania aliongea na umoja wa vijana wa CCM tawi la Vyuo vikuu hukooDododma. Kwa kweli katika vitu alivyoongea vyenye mashiko ni hiki kimoja kilichowasuta vijana hao "wasomi" kuwa mawakala wa Mafisadi na "Makuwadi" wao pia. Naifananisha na na kipindili ambacho...
Imekuwa ni tabia kwa Wanasiasa wa Tanzania kufanya madudu na hata tabia za aibu alafu kusingizia ni fitina za Kisiasa. Hata wale waliofisadi wanasema wanasingiziwa kwa sababu za husda za kisiasa.
Wapo waliofumaniwa na wake za watu au hata mahawara pia nao wakasingizia ni husda za kisiasa. Tamu...
Salaam wadau !
Kama tulivyosikia na kutangazwa na DIASPORA huko Marekani kuwa wenzetu wanaoishi huko wamejichangisha kumpongeza Rais wetu kwa kutimiza ahadi zake kwa aslimia kibao amebakiza 20% tu kufikia lengo, hivyo na sisi tujiandae kwa maandamano na sherehe kumpongeza.
Isiwe maendeleo...
Hii ilitokea huko Arusha mwaka huu mwezi wa pili. Kuna mdada wa mmoja aliyekuwa akiitafuta ndoa kwa udi na uvumba, akaipata kwa mkaka mmoja ustaadhi mwenye umbo la kawaida tu.
Kwa uzoefu bi dada alishakutana na wengi wa aina mbalimbali katika maumbile na hajawahi kukimbia wa kukataa...
Nimemsikia mwenyewe kwenye taarifa ya habari ya ITV na Radio One eti watafutiwa uwanachama wale watakaothibitika kutumia rushwa katika chaguzi za CCM. Labda sio CCM hii niliyomo mimi ndioRUSHWA haiwezekani kutumika ktk chaguzi. Rushwa ndio uhai Kwa Chama kwa sasa katika kuleta ushindi wa...
Nimekua na ndoto hii wanajamvi. Lazima atafanya kila jitihada azirudishe kwa mikono ya serikali hizo fedha maana nimjuavyo anachukia mnoo ufisadi kuliko anavyochukia CHADEMA na ndio kigezo cha kuchaguliwa kwake kwenda HAZINA.
Source maono yangu tu.
Katika habari za clouds saa 12 hii ya leo tarehe 11/2/2014 nape amedokeza kuwa uwingi wa wanachama wa CCM katika bunge la katiba ni kutokana na CCM kuwa na wanachama wengi katika TANZANIA.Inawzekana ikawa kweli au mnaonaje wadau.
Nadhani tumeona uchaguzi wa udiwani na changamoto zake. Wengi wao wamejuruhiwa na kesi kibao mahakamani yote ni siasa za nchi hii kwa sasa. Kama somo hapo juu linavyoonyesha, ni kipindi sada CCM kujitathmini kuona hali ikoje katika uungwaji mkono. Kuna kata zimepotea na nyingine zimerudishwa...
Nilimsikiliza vyema mwenyekiti wangu wa Chama Jpili Tarehe 2/2/2014 hasa juu ya suala zima la rushwa ndani ya Chama. Kwa kifupi rushwa imo ndani ya mishipa ya Chama tena imejengeka kwa dhati katika ngazi ya chini zaidi ya Chama. Nazungumzia uzoefu wangu kwa maeneo niliyowahi kuishi na kushuhudia...
InasemekanaTRA inakusanya zaidi Bilioni 800 kwa mwezi!! Lakini sijui kwa nini hatuna huduma nzuri kwa wananchi. Inasemekana eti sehemu kubwa ya fedha hizi ni kwamatumizi maalum!!! Habari hii ilitoka kwa mwanasiasa na Mbunge wa Chama Tawala kanda ya Ziwa baada ya kuongea na Mkurugenzi wa TRA...
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.