Search results

  1. MERCIFUL

    Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

    Haya mambo mazito sana: Kuna Mdau alihoji "what if Bwana Katibu ndio alinyanganywa tonge mdomoni na Bwana Mchungaji na Mama Mchungaji akaamua kuendelea kumliwaza Bwana Katibu mpaka alipoona kachoka akashauri waachane"
  2. MERCIFUL

    Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

    Daaaah! Kama ni kweli aliyasema hayo basi kazi ipo. Kwamba hicho ndio kigezo pekee alichoona akisifie juu ya mkewe na kuujulisha Ulimwengu?! Hakujua kua bwana Shetani alikua pembeni anakula push up na kunyanyua vyuma ili aisambaratishe Ndoa
  3. MERCIFUL

    Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

    Hakika! Anaweza ishia kubomoa kabisa badala ya kujenga
  4. MERCIFUL

    Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

    Yaaani mkao wa kutulia nikiwa na coke baridi pamoja na popcorn
  5. MERCIFUL

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Daaah! 🤣🤣 Haki umenifanya nicheke kwa sauti
  6. MERCIFUL

    TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

    Pole sana mzee wetu Mwinyi, Pole kwako raisi wa Zanzibar na familia yote kwa ujumla
  7. MERCIFUL

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Pumzika kwa amani mzee Lyatonga Mrema
  8. MERCIFUL

    Baadhi ya madada poa wanakula njama na maaskari kukamatisha wateja wao

    Walahi mie mbona nilijua hizo ndio sifa zao kuu!! Kwamba wapo ambao ni kinyume cha hizo sifa mbili?🤔
  9. MERCIFUL

    Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Sijui ataelewa unachojaribu kumwelewesha hapa??
  10. MERCIFUL

    Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    🤣 Mkuu, amesema yeye ni kijana, ana miaka 41 tu!!
  11. MERCIFUL

    Baada ya shoo, hatusemeshani na mpenzi wangu

    Ha ha ha BOYAEST kabisa🤣
  12. MERCIFUL

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    What a gruesome death. Pumzika kwa Amani Prof. Ngowi na dereva wako!
  13. MERCIFUL

    Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Pole sana mkuu; ulifanya ambacho wanaume wengi hufanyia marafiki zao. For now, kua mpole muache jamaa apambane kunusuru ndoa yake.
  14. MERCIFUL

    Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Ndio hajaja sasa! Huyo mwanamama ni mjanja na ana akili kuliko mlivyomdhania.
  15. MERCIFUL

    Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Mnyonge mnyongeni. Mama kabadili gear angani. Kaongea kwa vitendo
  16. MERCIFUL

    Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    🤣🤣 Na kuna baadhi yenu watachoka sana wataishia njiani
  17. MERCIFUL

    Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    Mwana kulifukunyua.... Atajua hajui!
  18. MERCIFUL

    Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Jamaa awe makini sana na huyo mwanamke. She is waay too smart for his liking.
Back
Top Bottom