Search results

  1. K

    Kwako Gerson Msigwa wa Ikulu, heshimu mamlaka

    We ni XX au XY?
  2. K

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Sawa, naamini wamekusoma vzuri.
  3. K

    #COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Kwani mkuu ni conditions zipi ambazo zinaweza sababisha strain ya kirusi ika'undergo mutation hasa zinazohusiana na mazingira ya hapa kwetu Tanzania yalivyo?
  4. K

    Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

    Pale hisia zinapofanya kazi kuliko akili.
  5. K

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Mkuu mi nafahamu sehemu mbili ambazo ni mwanzugi-igunga (tabora) na kapunga-mbarali (mbeya). Ifakara pia huwa nackia wanalima sana mpunga ila cjawahi fikai nadhani wanajukwaa wengine wanaweza kukusaidia na kututajia maeneo mengine pia.
  6. K

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Kuhusu gunia 90 za mchele hapa tuongelee gunia za kilo mia mia hivyo jumla yake itakua kilo 9000. Gunia la mpunga la kilo tisini hutoa wastani wa kilo 55 mpaka 60 za mchele hivyo kupata tani 9 utahitaj gunia 150 mpaka 170 za mpunga kutegemea na mashine utakayo tumia kukobolea iwe ya ku grade au...
  7. K

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Mkuu utakua unazungumzia kilimo cha kienyeji bila lakini kama mkuu hapo juu akipata hekari nne/hekta mbili zilizopo kwenye irrigation scheme na akaziendeleza kisasa unaweza vuna gunia mpaka 120. Kwa sababu hekari moja inaweza kukupa gunia 30 kwa wastani na hekta yaweza kukupa gunia 50 mpaka 70...
  8. K

    Msaada wa jinsi ya kutuma barua ya kazi kwa njia ya barua pepe (e-mail)

    Mkuu, wataalam wa mambo wanashauri njia nzur ya kutuma cover letter ni kuichapa kwa word then copy and paste cover letter yako kwenye uwanja wa email yako sababu kwa kufanya hivyo itamlazimu mpokeaji kuisoma barua yako ya maombi, baada ya hapo iattach pamoja na docs zingine kama cv na vyeti ili...
  9. K

    Utambulisho member mpya

    karibu mr rocket propelled grenade.. Angalia tu ucje tumika vibaya kulipua wasokuwa na hatia..
  10. K

    Maswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank

    Duh! mkuu, hivi huyu jamaa yupo jf bado? Nakumbuka fujo zake 2012 alipokuwa amechaguliwa kwenda muccobs...
  11. K

    Wimbo gani wa mapenzi ukiusikia unahisi kama umeimbiwa wewe?

    Dah hii ngoma inanikumbusha enzi hizo nahustle vijijini kwa wasukuma ndani ndani huko asee, nilikua ckijui kisukuma ila mpka nilikijua maana bila hivyo hufanyi nao biashara..
  12. K

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ekerege Ahukumiwa kwenda jela

    Mkuu na ww bila shaka umakini wako ni mdogo mpaka umeshindwa kuona huu uzi ni wa mwaka juzi ila tu umeibuliwa upya leo...
  13. K

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ekerege Ahukumiwa kwenda jela

    Mkuu na ww bila shaka umakini wako ni mdogo mpaka umeshindwa kuona huu uzi ni wa mwaka juzi ila tu umeibuliwa upya leo...
  14. K

    Call for oil and gas professionals credentials

    Ok, asante mkuu. Kumbe mawazo yangu hayakua mbali na ukweli...
  15. K

    Call for oil and gas professionals credentials

    Note: All copies of required certificates should be certified. Hua nashindwa kuielewa hii statement, kuwa certified kiaje haswa?
  16. K

    Natafuta kazi sipati, msaada jamani

    mura tang'ana umenifurahisha sana we chamaa.. Kwa nn asiende kwa baba mchungaji amuombee..
  17. K

    Rafiki yangu amekuta nywele za siri chumbani kwake

    Vp km alijinyoa au alimyoa jamaa ako kitambo na kuzisahau hapo jamaa alipozikuta bila kuzitupa? Asifikirie vibaya tu ajaribu kuangalia na upande mwingine wa shilingi..
  18. K

    Prof. Muhongo umeme wako utatutoa roho

    kama wewe ni mtumiaji mdogo wa umeme (unatumia chini ya unit 75 kwa mwezi) nenda tanesco kaombe kutolewa kwenye tariff za makato ya service charge utapewa form ya kujaza, baada ya kutolewa huko utaona kuna unafuu mkubwa sana..
  19. K

    Bei ya sony experia x10

    Hii simu kwa mara ya kwanza nmeicheki mwaka 2012 january, so nadhan kuna vitu vingi sana vya kiteknologia visha hapen hapa miaka ya kati na ndo maana mkuu chief mkwawa anaichukulia kama ya zamani...
  20. K

    APP hii inanyonya chaji kwenye simu yako, ifute!

    ofcoz hii app licha kula chaji pia inafanya cm inakua slow sana na ndugu yake insta...
Back
Top Bottom