Search results

  1. mzurimie

    Serikali imejibu kuhusu chaneli za nyumbani kurushwa bure

    Itakuwa kuna wanaopokea chao pembeni na ndio maana hakuna hatua wanayochukua.
  2. mzurimie

    Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

    Hapana, sio mimi.
  3. mzurimie

    Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

    Unatia huruma kwa kupenda kutunga uongo juu ya mtu.
  4. mzurimie

    Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

    Anatia aibu, kama mmoja wa mashabiki wake wakubwa wa humu ni bye bye Abdul Naseeb.
  5. mzurimie

    Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

    Nipo Mtoto wa Tandale na familia yake waliboa juu ya Zari party ya mama chibu mwaka jana, nami nikaumia hata kumshabikia lol
  6. mzurimie

    Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

    Wenye roho mbaya za kizimu ndio wako hivyo.
  7. mzurimie

    KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

    Aende zake kwa Mobeto na uwe ukweli. Zari muonyeshe huyo kijana ambaye hana heshima kwa wanawake ingawa unasingiziwa haya.
  8. mzurimie

    MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Na anawika sana hata nchi nyingi duniani kama kawa. Atalala anaota leo, nimefurahi kwa kweli Bora amepata yeye katika hao sababu sio my Diamond...eeeeh
  9. mzurimie

    MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Ndio nimerusha na sitoacha kumshabikia Diamond. Ila ukweli lazima uwe ukweli. Wizkid nae anapiga kazi sana kwa muda pia na tuzo habebadi kihivyoooooi...Davido hayupo nae kabeba...nasikiliza pia miziki ya nchini kwao...kama hupendi songa mbele. Naona bado unanitafuta utachoka tu na mimi. Siishi...
  10. mzurimie

    MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Nimefurahi Wizkid ameshinda, anakosaga tuzo sana. Atafurahia sana Najua Diamond nae atamfurahia kwa kweli
  11. mzurimie

    Hivi mdada inakuwaje umeolewa halafu kila wiki lazima uende kwenu kwa mama yako?

    Inabidi tu, kwa sababu wanawake hawasahau kwao.
  12. mzurimie

    Je, Rais Magufuli anatafuta kiki kupitia mikopo ya wanafunzi?

    Hata mimi nimekuw sielewi mpunguzo mkubwa hivyo huku akijua watu watalalamika na bila kitumbua mtu.
  13. mzurimie

    Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

    Atueleze juu ya Scorpion.
  14. mzurimie

    kwenye interview panel huwa wanaangalia kitu gani?

    Unapotuma maombi unakuwa unajiona unalo, ila tatizo kwa wengi ni katika kujieleza. Hata mtu mwenye top marks za shahada anaweza akawa bomu kwenye interview n.k. Ndio maana kwa mtu ukiona kila wakati unashindwa ni muhimu kuuliza uambiwe wapi ilikuwaje ujue unapojiangusha. Hii haitaki ubishi...
  15. mzurimie

    Hakuna mtu aliyechukuliwa hatua kwa kuwa walioathirika ni wapinzani

    Na hii yako ni unagesi tu kama wengine wanavyo gesi ni watu wa Chadema aka UKAWA. Sababu hauna cha kuthibitisha uliyoyaandika.
  16. mzurimie

    WALIOVUMA OCTOBER 2016...

    Si ungesubiri mwezi uishe au?
  17. mzurimie

    RC Gambo amwagiza RPC Arusha kumuweka ndani mwandishi wa Azam Tv muda huu

    Dunia ya leo kwanini hasirekodiwe, aliogopa nini?
Back
Top Bottom