Search results

  1. U

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    Tunakaribia Kusherekia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika!Na Serikali yetu inajisifu sana kwa mafanikio na kutaka iwea sherehe Kubwa eti Tumeweza na Tunasonga mbele! Sasa napenda kuhoji Ndani ya miaka 50 ya Uhuru kwaninii: 1)Ni miongoni mwa Nchi Masikini Sana Duniani 2)Rasilimali za Taifa kama...
  2. U

    MWENYEKI WA CCM Mh.KIKWETE AWADHARAU NA KUWABEZA WANACCM WENZAKE!

    Kitendo cha mwenyekiti wa CCM kuwateua Mwantumu Mahiza na Joel Bendera kuwa wakuu wa mikoa wakati walioangushwa katika kura za maoni za ubunge katika majimbo ya mkinga na Korogwe Tanga ni kuwadharau na kuwabeza wana CCM wenzake! Kama wanaCCM Wenzake waliowaona hawewezi uongozi tena Ngazi ya...
  3. U

    Nape muasi namba moja CCM - Nangole

    Nape,Sita,Mwakyembe ndio CCM Waasi!
Back
Top Bottom