Search results

  1. AMAFUMU

    Laptop inahitajika

    Nahitaji brand new laptop. napendelea sana HP Nyeupe. specifications 1. Internal memory ya 500GB hard disk 2. Ram ya 16GB ama 32GB 3. Core i 7 4. Graphic card 5. Touch screen Na mengine ambayo siyajui maake sio mtaalamu sana najua basic zake. Kikubwa ninamatumizi makubwa so I need a...
  2. AMAFUMU

    Viwanja vilivyopimwa

    Nauza viwanja PUNA kigamboni ni vilivvyopimwa. Hati unaweza pewa msaada wakuchukuliwa kwa makubaliano maalum ndani ya miezi 2 unakuwa umepata hati. Viwanja vinaukubwa wa 600sqm hadi 1000sqm. Vipo 1KM kutoka bahari ilipo. Barabara kubwa nzuri pia za mtaa zimechongwa. umeme tayari upo. Bei ni...
  3. AMAFUMU

    Laptop Hp Nyeupe

    Nimeibiwa laptop Hp nyeupe jana 14.11.2017 maeneo ya kigamboni. Please kwa yeyote yule aliyeiba ama la. Naomba kuuziwa tena hiyo laptop kwani mali iliyobeba ni zaidi ya maisha yangu. Nitakachoweza ni kuinunua tena kwa namna yoyote ile. Call 0714227532 ama whatsAp 0627911500.
  4. AMAFUMU

    Nauza viwanja viwili-Puna Kigamboni

    Nina survey plots mbili naziweka sokoni. Ziko Puna kigamboni- umbali ni 45km kutoka ferry, umeme uko tayari, barabara ya rami imeishia 20km kutoka ferry but inaendelea kujengwa kwa phase. Bei yangu ni 10,000@ sqm viwanja vinaukubwa wa 700sqm hadi 1100sqm. Documents za kukuwezesha kupata hati...
  5. AMAFUMU

    Anatafutwa mpenzi

    Ninastable ajira na shughuli zingine za kiuchumi. Nahitaji 1. Mdada mzuri sana 2. awe na miaka 22-28 3. awe na elimu nzuri---ikiwa ya chuo nzuri zaidi. 4. awe tayari kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi ni PM tu hasa ukinitumia namba yako ya simu ambayo naweza kukutafuta kwa whatsaap.
  6. AMAFUMU

    Natafuta rafiki wa kike.

    Vigezo 1. Awe either mwanafunzi wa chuo ama amemaliza chuo 2. Chini ya miaka 28 3. Mzuri but simple asiwe sister duu 4. Awe muelewa sana kwenye suala zima la maisha.
  7. AMAFUMU

    Nauza kiwanja Puna centre Kigamboni

    Ni umbali wa 45km kutoka ferry umeme upo tayari ni 800 mita kutoka bahari ilipo. kiwanja kina ukubwa wa 1100sqm bei yangu ni 9 million cash Call 0627911500
  8. AMAFUMU

    Uongozi wa Jamiiforum

    Naomba nikili kuwa nimekuwa member since 2011. nimejifunza mengi sana na nimefaidika na matangazo mbalimbali humu. Hivyo basi naomba kutoa pole zangu za dhati kabisa na sijui nisemeje ili kueleweka but very very sorry kwa Viongozi wanaokabiliwa na kesi. Sijawa active sana so sikujua zaidi...
  9. AMAFUMU

    Nauza viwanja kigamboni.

    Viwanja kipo kimbiji kwa chale. Ukubwa wa 850 sqm Bei ni 6,000,000 each Malipo ni cash Viwanja vimepimwa utakuwa na kazi ya kutafuta hati tu. Umeme na barabara ni huduma zilizo tayari. Call mi 0714227532 ama WhatsApp 0627911500
  10. AMAFUMU

    Surveyed plots Kigamboni!

    Nina miradi Kimbiji kwa chale, Puna na potea vyote ni mbele ya kimbiji Price zina range kianzia 7500@sqm hadi 23000@sqm. Puna na kwa chale umeme upo tayari potea bado haujafika. Pia ninavyo bunju B karibu na mradi wa TBA ama wahanga wa mabwepande hivi price inaanzia 20000@sqm na vyote ni low...
  11. AMAFUMU

    Msaada wa biashara ya viatu (sneaker) kutoka China

    Najaribu kuangalia links za maduka china yanayouza sneakers but naziona ila sizipendi ninazoziona. Kama kuna mtu china hapa ama unauzoefu na sneakers naomba uniunganishe nione nitafikia wapi! Ahsante sana
  12. AMAFUMU

    Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa Kigamboni

    TANGAZO. GEO PLAN DESIGN and LAND CONSULTANCY Kampuni ya mipango miji inakutangazia viwanja vilivyopimwa kwa mujibu wa sheria za mipango miji wizara ya ardhi. Viwanja viko kigamboni mbele ya kimbiji sehemu tatu tofauti. 1. KIMBIJI KWA CHALE 2. PUNA (YALE YALE PUNA) 3. KIMBIJI POTEA kama...
  13. AMAFUMU

    Plot4Sale Surveyed plots in Kigamboni for sale

    Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1. Kimbiji kwa chale ni 43km viko karibu na bahari na chuo cha maafisa wa JKT vinauzwa kuanzia 10,000...
  14. AMAFUMU

    Plot4Sale Surveyed plots in kigamboni

    Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1. Kimbiji kwa chale ni 43km viko karibu na bahari na chuo cha maafisa wa JKT vinauzwa kuanzia 10,000...
  15. AMAFUMU

    Surveyed plots in Kigamboni Dar es salaam

    I have three project. One is located at Kimbiji kwa chale 45 kms from ferry the second is at puna 48 kms from ferry both are on the ocean side within 1.5kms while some plots are beach plots. The third is at Potea muhimbili the land side 47 kms from ferry and 9 kms from Nyati cement factory...
  16. AMAFUMU

    Surveyed plots for sale in kigamboni Dar es salaam

    I have three project. One is located at Kimbiji kwa chale 45 kms from ferry the second is at puna 48 kms from ferry both are on the ocean side within 1.5kms while some plots are beach plots. The third is at Potea muhimbili the land side 47 kms from ferry and 9 kms from Nyati cement factory...
  17. AMAFUMU

    Una ndoto za kumiliki gari?

    Natarajia kuiuza gari yangu aina ya gaia yenye usaji wa cne... Sababu za kuiuza nimeagiza gari nyingine aina ya noah na inaingia tarehe 29 april 2015 hivyo nitaiuza niliyokuwa natumia mwazo. Mwenye uhitahi tuwasiliane maake kufika wa tano katikati nitakuwa serious nauza hiyo gari
  18. AMAFUMU

    Mkopo kwenye mabenki zetu

    jamani naombeni ushauri. nina biashara yangu ya stationery hapa dar es salaam imesajiriwa na lesini ya biashara ninayo. sasa nataka kuchukua mkopo bank kiasi cha 5-7 million ili ni kuze biashara yangu na sina thamani zaidi ya gari na biashara yenyewe ninavyoweza kuweka kama bond. lakini pia ni...
  19. AMAFUMU

    Mwanamke kutokwa damu kila afanyapo tendo la ndoa

    Ndugu zangu wana JF naomba kujua nini tatizo kwa mwanamke kutokwa na damu kila anapofanya tendo la ndoa. Ukiangalia inakuwa sio mchubuko wala sio kuwa yuko period, unakuta tu uume ukiingiea sehemu za kike anaanza kutoka damu na yeye hapati maumivu yoyote, wala haisi chochote zaidi ya kuona tu...
  20. AMAFUMU

    Kazi za ppra

    jamani naomba msaada mwenye kujua mishahara ya procurement officer II ya PPRA ni kiasi gani...!
Back
Top Bottom