Search results

  1. N

    Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

    Nani achukue jitu ambalo limeisha chakaa atakae fanya hivyo ni mwanume mpuuzi
  2. N

    Kikwete bingwa wa safari kuliko Marais wote duniani

    Minafikiri huyu THATHA ni janga humu jamvini naye nafikiri anahakiri kama MR.PROMICE,au ndio walewale mafisadi wenzie
  3. N

    Kikwete bingwa wa safari kuliko Marais wote duniani

    Unajua kuna watu wengine ni washenzi sana tena sana wanamtetea kikwete ili iweje mi nafikili huyo ni mdada aliyefanya hivyo au mwanaume mbona mpuuzi hivyo,Nchi imemshinda huyo mpuuzi bado wajinga wenzake mnamtetea,mi naona mtu huyu si rahis wa Nchi hii bali ni MTALII, tuache kutetea upuuzi wakubwa.
  4. N

    Polisi singida wateka, watishia bunduki na kutaka kumlawiti mfanyabiashara

    hawa askari washenzi kweli mpaka kubaka sasa mi nadhani ni wakati wawa na nchi kuchukua hatua mkononi huu ni ushenzi na ubakaji.
  5. N

    CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...!

    unajua nini cuf ni wanafiki tu hamna lolote mi wananiboa kinoma siwapendi kama nini,wanafiki balaaaaaaaaaaaa,kama lipumba hana akili kama jina lake kabisa.
  6. N

    Msaada wa taarifa za nafasi za kazi kwenye mambo ya kilimo

    mbona hizo kazi ni nyingi mno humu kuwa makini tu kilasiku zinatamgazwa auko makini kaka be care
  7. N

    Tourism Management

    nimeona kazi hiku wametangaza hotel moja inaitw fm hotel iko njombe ngoja nikipata box lao nikutumie utume vyeti ndio infunguliwa
  8. N

    Tourism Management

    kuna kazi zimetangazwa huku njombe kuna hotel moja inafunguliwa inaitwa fm hotel wanakaribisha maombi ngoja nicheki box yao alafu nikutumie my e mail lawrencethomas21@yahoo.com
  9. N

    Kazi JWTZ

    kwa hapo sina la kusema labda ungejaribu kuulizia zaid jeshini ni kwa nini wanafanya hivyo kaka labda wanamakusudi yao wanayoijua
  10. N

    Kazi JWTZ

    nafasi bado hawajatoa hata za form six sayansi bado wale walioingia mwaka jana ndio wamepelekwa nchi mbali mbali za afrika mashariki mi mmoja wa marafiki zangu yumo humo kapelekwa kenya ila mwaka huu bado,pia nimeongea na ,mshikaji mmoja hivi ni mwana jeshi kaniambia bado so wananzengo tuvute...
  11. N

    Kazi JWTZ

    bado hawajatoa za form six sayansi,hao niwale wa mwaka jana mmoja wa rafiki zangu yumo humo kapelekwa kenya,mi mwenye nazisubir za sayansi hizo
Back
Top Bottom