HEBU SOMA HIYOOO>
Arena -a level area surrounded by seating, in which sports, entertainments, and other public events are held
- a place or scene of activity, debate, or conflict.
Haina ukweli wowote hiyo uliyoiandika, Ukristo, Uislam na Jews zinaitwa Abrahamic religions unajua kwa nini? kwa sababu aliyeanzisha kuabudu "Mungu mmoja na Mkuu" ni Abraham/Ibrahim. Huyo Abimelek unayemsema umeokoteza kwa kuwa si kweli kwamba Mungu Mkuu ndiye aliyemwambia suala hilo. Aidha...
Itakuwa unafikilia kugonga tu ndiyo maana unataka watu washerehekee mwezi wa mimba.
Acha kusumbuana na watu wasiojulikana kama wakristo, Waislam au wayahudi. Hapa wanaleta ubishi ili wote twende usabato halafu eti ndiyo Yesu atalejea kuchukua kanisa lake. Kwamba kutoshika kwetu siku ya jumamosi...
Mtoa mada unaweza ukawa sahihi kwa upande mmoja lakini ukishindwa kuelewa maana ya maneno yaliyoandikwa kwenye Biblia itakusumbua kwa kushika kamstari kamoja tu na unenda nako utafiki fimbo ya kuulia nyoka. Katika kitabu cha Luka mlango wa kwanza kuanzia mstari wa 24 inaeleza mpaka hapo...
Heri wameshinda Consevertive maana hao labour sera zao za hovyo balaa. Eti akitangazwa mshindi siku ya pili anaitambua Palestina kuwa nchi huru na makao makuu Jerusalem kama sio kuleta mtafaruku ni nini sasa?
Kwa mtazamo wangu India wapo sahihi kwa kuwa katika mataifa hayo (Pakistan, Bangladesh na Afghanistan) wanaopata shida ni wasio waislam kwa kuwa mataifa hayo yanaongozwa kwa kufuata mila na desturi za Kiislam. Haiwezekani ukakimbia toka huko kwenda kwa wanaoitwa makafir labda utake kubadili dini...
Wavaa vipedo ndo waharibifu balaa. Ningekuelewa kama ungesema tuachane na dini hizi za kuletewa kutoka mashariki ya kati ili tubaki na dini zetu za asili kuabudu misitu. Maana hizi zingine zimetuletea utumwa na ugaidi.
Katika vitu vinavyonisikitisha ni kuamini Uarabu ndiyo Uislam na Uzungu ni Ukristo, hivyo ukimgusa Mwarabu umemgusa Mwislamu na vivyo kwa Wazungu. Ni upunguani wa akili ambao sikuutegemea kwa Tanzania labda Tanganyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.