Search results

  1. N

    Sun burn msaada

    Wadau wa jukwaa hili, ngozi yangu ya uso imeathirika na mionzi ya jua. Nimetumia mafuta ya walemavu wa ngozi.Sijapona.
  2. N

    Dada yangu anatafuta mume

    Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo na anaemwongopa Mungu, elimu kidato cha sita,asanteni kwa hekima zenu wanajf
  3. N

    Mambo jf

    Ninatumia nafasi hii kujitambulisha kwenu. Asanten kwa kunikaribsha
Back
Top Bottom