Sun burn msaada

ngindo

Member
Oct 8, 2011
20
0
Wadau wa jukwaa hili, ngozi yangu ya uso imeathirika na mionzi ya jua. Nimetumia mafuta ya walemavu wa ngozi.Sijapona.
 
Umepata sun burn ya hivi karibuni au uso ulikua umeshaaribika kutokana na mionzi ya jua.

tafuta cream yenye vitamin c and e ya kutumia usiku wakati wa kulala.

Na pia nunua lotion yenye kuanzia SPF 30 kwa ajili ya kutumia ukiwa nje kwenye miangaiko yako.

Kila la kheri ngozi yako itarudi kama kawaida.
 
Nenda kwenye maduka ya bidhaa za FOREVER, na ulizia ALOE SUNSCREEN, ni nzuri sana,ndio ninayotumia, ina SPF 30.
 
sunburn nimepata tangu 2010 baada ya kwenda moshi nikitokea songea nimetumia hiyo SPF 30 pia 50 hakuna mafanikio
 
Ok! Kama forever spf30 imeshindikana jaribu aloe vera jelly tube inaweza kuwa na msaada.
 
Pole sana mdau kwa tatizo lako nakushauri kutumia
.1.Aloe soft gel Capsule ambayo inalainisha ngozi na ku maintain beauty, enhance immunity na ku promote healing and help recover from sunburn, scald , fire burn and acne .
Pia Inasaidia matatizo ya constipation na kutoa sumu mwilini.
Matumizi:2capsule once per day
Price: USD 24 au 46,080 tsh (exchange ya 1600)

2. Pia ningekushauri utumie sabuni ya Pearl Beautifying soap ambayo itakusaidia ku improve the skin color, control sebum secretion, remove oil and sweat and refresh skin . Also it helps the pore to breath freely, weaken splash and cover the violet damage.
Bei: Tsh 2500 tu

Just PM for more information and how to help u.
Thank U
 
Back
Top Bottom