Tuna tatizo la kimfumo na kitaasisi katika uzuiaji mianya ya upotevu wa fedha za umma. Tutafanikiwa tu, endapo tutafanya maboresho ya kitaasisi (Institutional Reforms).
Kongole Ndg. ZZK kwa kuchokoza mada hii nyeti. Kwa maoni yangu, naona tatizo kubwa lipo kwenye mifumo yetu ya kiutendaji na aina ya wananchi tulionao. Mtu asiyejua kuwa ni wajibu wake na viongozi wake kuhakikisha anapata huduma msingi, ni kawaida sana kwake kuomba badala ya kudai serikali...
Una hoja. Ila umesahau kuwa mazao hutofautiana kulingana na tamaduni. Pia mazao tofauti hulimwa kwa misimu tofauti, hivyo usitaraji kuona watu wakilima kwa msimu mmoja.
Kujitegemea kunahitaji mikakati madhubuti, hivyo kwa mwenendo wetu wa sasa bado tunahitaji kurudi mwanzo na kusuka mipango upya. Kinyume na hivyo, tutangoja sana.
Nilibahatika kuangalia (ma)tukio yote ya uzinduzi na kwa amoni yangu Waziri Mwijage alikuwa sahihi kuomba msamaha. Huwezi elezwa kitu na mkuu wako (hata mzazi wako) chenye manufaa kwako na familia kwa ujumla na usitekeleze bila sababu za msingi.
I stand to be corrected
H.E. JPM has his own style of governance and I think we should give him more time. However, he should seriously observe the separation of power. We have been witnessing cynical bureaucrats and politicians fearing to advise and/or tell HE truth. Things must change
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.