BBC Ina report habari za kidunia sio habari binafsi.....hata mwandishi alifariki natural death hawatangazi labda awe ameuwawa.....nyie Kila jambo mna report
Wanawake wenye nyodo ndo wadhaifu kupitiliza mkuu.....yaani superiority complex is a sign of inferiority complex......huyo unaenda nae polepole ku study udhaifu wake.....yaani wanabadilikaga huwezi amini
Ukiona hizi socio conflict zinaongezeka ujue kuna issue mahali....kuna kitabu nilisoma kinaongelea Rwanda na jinsi genocide ilivyotokea. Mwandishi alielezea kwamba kabla genocide haijatokea socio conflict zilikuwa nyingi mno hata within Wahutu kwa wahutu ama watusi kwa watusi wenyewe, political...
Huwa inaniuma sana ninapo pishana na magari ya serikali, madereva wengi (sio wote) hawafuati sheria, uendeshaji wao sio wa kujali utunzaji wa haya magari.
Haya magari yangekuwa yanatunzwa vizuri both na taasisi lakini pia na madereva wenyewe yangepunguza gharama kubwa zinazotumika kwenye...
Mkuu GENTAMYCINE wala sijakukuruka, nimetumia knowledge ya kawaida tu. Dereva wa gari alilopanda Fredwaa alikuwa kalewa, kama Fredwaa angekuwa normal yeye ndo angeendesha hilo gari, umeona video wakiwa na TID? It seems wakati wa ajali ndo walikuwa wanarudi nyumbani......hatu hukumu lakini...
Wacha kumdanganya...real fighter kwa lipi....he didnt do his groundwork vizuri.....hatukutegemea mtu kama yeye akagombee ubunge while hajafanya chochote kwa watu ama wajumbe...
People underestimate the power of social media......alifanya akijua itaishia vile vile....itamtafuna maisha yake yote....amuulize yule binti wa SAUT picha zake zilivuja mwanzoni mwa 2010s inavyomtafuna mpaka leo
Ile video ili mdefine kama mtu ambaye sio mannered ama disciplined na atakapo pata...
Tuliza mshono.....nishauri nin sasa....hapo kuna hitaji ushauri.......acheni kupamba mambo ya kijinga ohhoo maono hayo maono angefanikiwa bila baba yao kuwa na hela ya maana kuwasomesha......
watu bwana, mnaanza kuingiza mambo ya dini.......hapo swala ni kwamba baba anaweza kumsomesha.....wa ngapi walikuwa na maono lakini hawakufanikiwa kwa kukosa pesa.....
Wote ni wazuri kwa nafasi zao ndo maana wote ni famous. Katika maisha yangu nafuatilia sana Philosophy ya Bruce Lee. Bruce Lee anasema it doesnt matter how many awards/belt you have collect. Swali la muhimu kwake ni can you really fight. Ndo maana Bruce Lee alikuwa anawaalika washindi wa karate...
Kijana wa kisasa unatakiwa uwe na chanzo cha kudumu cha mapato.....hayo mengine yanakuja.....chanzo cha mapato ambacho hata kama ukipata ajali leo ukapata ulemavu wakudumu........pesa inaendelea kuingia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.