Search results

  1. M

    Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    Hao ni watani wa Jadi kwenye hizo mambo waaacheni tu. Mimi ni timu Churapopo
  2. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Nyie mnaongea na Marehemu, kwa ujinga huo aliomfanyia mwanamke awe hai hadi leo?? Huyu atakua ashapigwa kipapai au sumu ya Panya ili aachie watu nafasi. Tokea 2016 hajaingia JF
  3. M

    Wajuzi wa location, Huu ni mtaa wa wapi?

    Hiii ni South Afrika, hizo Hiace/Madungu ndio taxi/Bajaj zao na ndicho nilichobaini. Pili umbile la Mwanadada mofolojia yake imekaa sawia kabisa na wenyeji wa SA. Afrika imebarikiwa, acheni USHOGA mfaidi uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
  4. M

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Wewe ni mzuri hautakufa! Mungu akujaalie mwisho mwema Mkuuu
  5. M

    Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

    Huu ndio kweli ambao wengi wetu hatupendi kuuskia. Mabadiliko huanza na mimi na wewe. Badili Tabia
  6. M

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Mpira wa Simba na Yanga uko na Umafia mwiiingi nje ya Uwanja. Ushindi wa kujituma uwanjani ni 50% hizo zinazobaki ni mipango ya kando. Ndio maana unaona wakicheza na Azam au timu za Jeshi ambazo mipango yao mara nyingi inakwama wanapoteana mkuu stuka! Wao kwa wao akili ni hiyo hiyo pia. Simba...
  7. M

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Simba ni Bingwa wa Ngao ya Jamii, nitajie timu yoyote yenye Taji Msimu huu kwenye ligi ya NBC? Anayesema Simba mbovu ni kiande haswaaa
  8. M

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Falsafa na kazi nzuri za Magufuli ni kama Maji tu usipooga LAZIMA UYANYWE! JPM the KING of all time
  9. M

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Chukua hatua, fukuzilia mbali hao pimbi kama wako kwenye himaya yako Muungano mchungu sana huu. Mara tuitwe Machogo, mara Kaffir maaaaaaninna Ijumaa, 26/4 tuandae mabango KERO ZA MUUNGANO SASA INATOSHA
  10. M

    Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

    Emmanuel OKWI hana mpinzani hapo. Kwanza alikaaa muda mrefu kwenye ligi. Pili alipita Vilabu Simba na Yanga kwa mafanikio. Tatu alikaa kwenye ubora wa kufumania nyavu kwa kipindi kirefu zaidi. Nne nidhamu ya hali ya juu.
  11. M

    Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Tumekuwa watu wa kusema; Tulijua tuuu hili litatokea! Lkn Mkuu watu hao wanaambiwa sana tu tatizo wanaakuwa wabishi! Mf. Hapa JF kuna nyuzi ngapi za kumsihi Mhe. Makonda kuwa na mwenendo usio wa kubagaza watu na kukejeli? Je, hazisomi? Kwanini habadiliki? Mkuu unaambiwa Sikio la kufa haliskii dawa.
  12. M

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Umepita na boda boda kama kishada kwa mwendo wa roketi, lkn umeweza kuchunguza bastora ukaona ina kiwambo cha kuzuia sauti na ukachunguza idadi ya watu kwenye gari. Anyway JF riwaya zimekuwa nyingi
  13. M

    APR Rwanda wanamtaka Aziz Ki wa 1 million usd ($ 1million)

    APR anatafuta umaarufu na Followers kupitia Aziz Ki na Tanzania kwa ujumla. Hivi kweli leo Simba annaweza kuuliza bei ya MUDAU kweli?
  14. M

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Saa 4 usiku mtoto yuko barabarani halafu mzazi uko wapi?? Narudia Kuzaa si kazi, Kazi kulea! Wazazi tuwajibike. Watoto wengi wapo hapo barabarani hawana hata nauli wanasubiri lifti tu huko majumbani hamuwapi nauli. Halafu unajiita mzazi shiiiiit
  15. M

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Kwa Heshima yako hapa jukwaani, heshima ulinayo nayo kwa WanaSimba huu uzi wa leo umecheza kama Yikpe! Hizi stori waachie kina deep pond kaka ukirudia tunakuvua Nyota zote!
  16. M

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Mzazi Usalama wa mwanao uko mikonoi mwako, na unapaswa kuhakikisha anakuwa salama. Kama ulivyotaarifiwa kuchukua tahadhari ya Mvua kwanini usimpeleke mwanao shule? Kwanini usimtafutie namna mbadala iliyo salama? Haya umeshindwa vyote umekosa hata 1500 ya kununua mwamvuli kwa mwanao ajikinge na...
  17. M

    Trafiki wa Nzega watafutiwe muarobaini

    Traffic wa KIBAHA mzani wa Zamani, Traffiki wa Morogoro Mikese, Traffiki wa Singida mjini kwenye Mawe Pale, Traffiki wa Bariadi Mjini mmoja wao ameungua Meno. Hivi vikosi kutoboa bila kupigwa Cheti labda uwe unapeperusha Bendera ya CCM wana njaaa mpaka wanakera!
  18. M

    Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

    Lile zee Saidooo alitakiwa kuondoka zamani sana angalau Baleke ama Phiri mmoja angebaki. Jitu lina uchoyo wa kutoa pasi utazan linacheza Draft! Aende tu akalee wajukuu hata nauli akipenda tutamchangia.
  19. M

    Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

    Siri ya kutozeeeka na kukunjamana uso ni ACHA POMBE, ACHA SIGARA, JIEPUSHE NA STRESS, FANYA MAZOEZI!
  20. M

    Tatizo la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma na kuhisi kizunguzungu inaweza kuwa ni dalili ya changamoto gani?

    Fanya Mazoezi ya kutosha. Shiriki tendo la ndoa vya kutosha. Baada ya utapata vya kurejesha.
Back
Top Bottom