Search results

  1. B

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    lakini ebu waislamu tujiulize?hivi kwa akili za kawaida serikali hata madawati inashindwa,ajira ni issue na sasa je uwezo wa kujenga hospitali inauwezo huo?ndio maana ikaona jawabu ni kuyapigia magoti makanisa ili wasaidiane katika kuboresha huduma za jamii.na aliye initiate ili alikuwa "mzee...
  2. B

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    hivi wana arumeru mnashindwa kuchukua maamuzi ya busara ya kuing'oa ccm?ujue haya ni maisha yenu na watoto wenuaa?
  3. B

    Mwanafunzi afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu Dagaa wanaitwaje kwa Kimombo

    jamani wadau mmechangia mengi,je kwani hao dagaa wanaitwaje?au na nyie vihiyo?
  4. B

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha St John watimuliwa wote.

    Tatizo nchi imeuzwa hii,point ya msingi komaeni wadau.
  5. B

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    jamani wana CDM,Kafulila hatufai kabisa atatumiwa na CCM kukivuruga chama,hao watu mm nawajua huwa wanlewa sana misifa ni kama ZITTO tu ngugu yake.Ni kupiga chini huyo dogo labda achukuliwe na CUF.
  6. B

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    Watanzania tusiwe wajinga kwani mazambi ya edo mmeyasahu?hatudanganyiki ng'o,labda awaongoze monduli.
  7. B

    Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

    Tatizo wabongo we are not creative,always tunaangalia upande mmoja wa shilingi.hivi kwa nini tunaubinafsi kiasi hiki?the only solution ni mageuzi.
  8. B

    Nyumba zaidi ya 100 Mbezi Beach kubomolewa kwa nguvu!

    JAMANI WADAU WENZANGU,MBONA MIAKA HII KUMEKUWA NA WIMBI KUBWA LA VIJANA KUKIMBILIA MASOMO YA BIASHARA (ACCOUNTANCY) HATA KAMA WANA BACKGROUND YA SAYANSI?jE NINI LOGIC BEHIND?MAENDELEO YA NCHI YANATEGEMEA WANASAYANSI!!!!
  9. B

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Mkuu ujue tatizo wewe una vision wakati watu wengine wana mission,for sure it is a useless coment for person like Mnauye.Tatizo ukiingiza upenzi ktk siasa ni kuharibu tu.
  10. B

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    hivi hawa wanao publish matokeo hivi wameyapata wapi?ujue tatizo watanzania wengi sheria ni ziro kabisa.
Back
Top Bottom