Search results

  1. Kilimo

    What really happening in other sphere but not happening around you, heartbreaking story!!

    India woman's arm ‘cut off by employer' in Saudi Arabia India asks Saudi govt to take action against employer who chopped Indian woman hand India's foreign ministry has complained to the...
  2. Kilimo

    Israel yagundua mafuta karibia na mpaka wake na syria, Tanzania kulikoni?

    Jamani kwanini ukanda wa mashariki ya kati unaongoza kwa kuwa na hifadhi nyingi zaidi za mafuta ghafi na gesi asilia kuliko mabara mengine? Kwa mfano, hivi ni kweli mpaka sasa hv Tanzania yetu hii haijagundua tu mafuta? maana kila kukicha tumekuwa tukisikia ugunduzi tu wa gesi asilia, vp...
  3. Kilimo

    Lowassa ana mikakati mizito juu ya kuinua uchumi wa Tanzania

    Kama somo linavyojieleza hapo juu, Mh.Lowassa anayesubiri tu kuapishwa mara tu baada ya Octoba 25 mwaka huu anamikakati mizito juu ya suala la uchumi wa taifa hili pamoja na kukuza ajira za watanzania. Hii ni sekta mojawapo tu ya usafiri wa anga, kati ya nyingi ambazo kiukweli hazifanyi kazi...
  4. Kilimo

    Ushauri: Wapi nitalipata hili gari (used toyota land cruiser - pick up)

    Nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati mbaya sijapata mtandao ambao una vipimo vya hili gari hapo chini; Type: Pick up Maker: Toyota Model: Land Cruiser Year: 2005 to 2013 Fuel: Diesel Transmission: Manual Transmission...
  5. Kilimo

    Msaada wa haraka kuhusu employment contract

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni tafsiri sahihi ya kifungu hiki cha sheria kilichopo ktk mkataba wa ajira wa mdogo wangu. Governing Law 'It is the intention of the parties to this agreement that this Agreement and the performance under this Agreement, and all suits and special...
  6. Kilimo

    Qatar yamfukuza kigogo wa Palestina

    Qatari yashindwa kuvumilia nguvu ya diplomasia ya Israel mpaka kushawishika kumfukuza kigogo wa HAMAS aliyekuwa uhamishoni. Source:Yahoo
  7. Kilimo

    Ajali basi la hood lagongana na gari dogo la IT asbh hii!

    kuna ajali imetokea asubuhi hii katikati ya maeneo ya igulusi na pipeline, basi la hood lilikuwa linatokea mbeya na gari dogo la IT lilikuwa linatokea dar, ingawa sijafaham kama watu wameumia au vinginevyo vile nami nipo ktk safarini ktk basi la abood, ila gari dogo limeharibika vibaya sana...
  8. Kilimo

    Uzembe wa hospitali ya tumbi kibaha, mgonjwa yu mahututi sasa pale hospitali ya lugalo jeshini

    Ndugu wanaJF "MKASI NA PAMBA ILIYOKUWA IKIFUTIWA DAMU" VYAKUTWA TUMBONI BAADA YA OPERESHENI YA PILI Kwa mujibu wa mfanyakazi mwenzangu, kuna binti mmoja alijifungua/kuzaa kwa njia ya oparesheni kama wiki tatu hivi zimepita pale hospitali ya Tumbi iliyopo kibaha mkoani Pwani, baada ya kutoka...
  9. Kilimo

    Israel new and innovated technology of uav after iran's discover of uav !!

    Israel unveils enhanced drone IAI showcases latest upgrades in 'Shoval' drone on heels of Iran's introduction of new UAV...
  10. Kilimo

    CHADEMA ANGALIENI HILI KWA JICHO LA TAI (tai aliweza tizama/ona leo kabla ya jana!)

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndani ya CDM kuna mapandikizi ambao kiukweli ni mamluki wa CCM, hivi itakuwaje 2015 kabla tu ya uchaguzi ambapo baadhi ya viongozi/kiongozi wa CDM watajiondoa/atajiondoa ilimradi akidhoofishe CDM ktk uchaguzi hasa uchaguzi wa rais, hivi ni taadhari gani...
  11. Kilimo

    kiwanja (ardhi) ktk eneo la misugusugu kinauzwa

    hiki ni kiwanja kilichopo maeneo ya Misugusugu - KIBAHA upande wa kushoto kama unaelekea DSM. umbali:- ni kilometa 1 toka morogoro road ukubwa:- ni ekari 2 (na inazidi kidogo) hati/offer: hakina (hakijapimwa) bei: Tshs Milioni 18 ( hakuna dalali) NB: kipo karibu na bomba kuu la maji umbali...
Back
Top Bottom