Kuna kitu kinaitwa “Ongezeko la thamani “ ,hichi ni kitu pekee katika biashara yeyote inayoanza ni lazima kuwa nayo.Ongezeko la thamani huonesha ni kitu gani cha kipekee katika biashara yako kinakutofautisha na biashara zingine zinazotoa huduma au kuuza bidhaa kama yako.Mfano kama wewe wa kituo...
Kiauhalisia biashara nyingi si rahisi sana hasa mwanzoni,kikubwa unachotakiwa kukifahamu ni kwamba ni vyema wakati unaanzisha biashara uwe umejiandaa kisaikolojia wewe kama mjasiriamali maana biashara inapofeli ni kwamba wewe mmiliki binafsi ndo umefeli lakini si biashara imefeli,wakati...
Tatizo ni kwamba Most of graduates tunashindwa kuwa wabunifu,katika kipindi hiki ambacho hata wafanyabiashara hali sio nzuri sana, ni lazima nasisi graduates tutumie akili nyingi pia kwenye kutafuta kazI hasa kama hauna connection. Tunalalamika kwamba kazi zinatolewa kindugu au kirafiki lakini...
Kwa arusha kuna sehemu moja ambayo najua hawawezi kukosa assila mkuu...kuna kampuni ipoopposite na msikiti wa ngarenaro pale kwenye sheli ya camel kuna duka lina itwa daymo trading company ltd,wanauza mbegu za aina zote pamoja na kufunga drip irrigation system,greenhouses na dam...
Liner ni nzuri sana katika mabwawa kwani hupunguza upotevu wa maji katika mabwawa ,huwa zipo zenye thickness ya 0.5 mm na 1mm,liner huuzwa kwa square meter ,Liner huunganishwa kwa mashine maalum kama blower,extrusion machine na plastic welder na pia machine hizi zipo na kusema ununue kwa ajili...
Hakuna haja ya mrejesho....nyie hamuiamini forex alafu kila siku mnataka mirejesho? chakufanya ni kufanya kama hujawahi kuisikia alafu endelea na michakato mingine
kiukweli mkopo asimia kubwa wanaangalia shule mtu aliyosoma o-level,kama mtu alisoma shule ya private o level wengi wao wanapewa 0% yani unapewa vyote kasoro ada...ila kama alisoma serikalini inategemea na bahati yake...ila kama alisha pewaga mkopo alafu akaacha chuo huwa kuna percentage flan ya...
We kata baro ,danganya umemaliza miaka ya 90 wakati baanda anakusubiri kwenye engineering ethics SEM 7 pamoja na Avitus kwenye ergonomics SEM 8.Watakapo kupiga vinu vya nyuklia ndo utajua umemaliza 90 au utamaliza 2018 mungu akipenda.
We mkata baro acha kudanganya watu eti umemaliza 90s......Kaza mzee 2018 siyo mbali..una Ergonomics SEM 8 inakusubiri pamoja na Engineering ethics SEM 7 wewe..We sema alikuwa kijana wakati anakusubiri kwenye AE 420
uwezekano upo mkuu...
hali ya jua Kali au mvua nyingi huweza kuathiri ukuaji wa mazao kama mboga mboga kwani mboga huhitaji tu kiasi fulani tu cha maji ili kukua vizuri..
Ili kuzuia hili greenhouse hutumika... green house huwa na special cover ilinaloweza kupitisha kiwango flani cha mwanga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.