Search results

  1. K

    Huduma za Akiba Commercial Bank ni shida!

    Wakuu nawasalimia kwa upendo nyote. Naomba Central Bank of Tanzania wajaribu kuitupia jicho LA karibu ACB make imekuwa kero sana kwa wateja kwani Mara kwa Mara unaambiwa hakuna mtandao, Mara hatuna printer, ukienda ATM Zao hapo ndo balaa. Mara Hamna pesa, Mara mtandao, Mara receipt Hanna...
  2. K

    Alfred Tibaigana: Maandamano ya CHADEMA ni halali

    Mkuu Tiger One nilikuheshimu sana hasa kwa michango na uchambuzi wako wa kisisa kwenye jukwa hili ila kumbe nawewe mwizi! Du! Hii kali. Kama kweli umeacha wizi basi taja wezi wote uloshirikiana nao ili nao waone haya waachane na wizi.
  3. K

    TANESCO fungukeni, kuna mgao wa umeme unaendelea Dar?

    TANESCO ni shida sana. Hawatambui kwamba umeme ni msingi wa kazi zote za kila siku kwa mtanzania. Naona kutakuwa na mgao sema tu hawataki kuweka wazi make walishahapa kwamba hakutokuja kuwa na mgao wa umeme tena.
  4. K

    Kwa mbinu hii, ni kweli CHADEMA imelifikia nakulivuka lengo lake

    Nchi hii inahitaji wachambuzi makini, wenye weledi wa hali ya juu kama wewe na Mzee Mwanakijiji. Umechambua ukweli haswa make hata mie kwetu huku Maswa na kanda ya ziwa yote ni chadema iko midomoni mwa watu. Misikitini, makanisani, vyuoni, mashuleni na mahospitalini ni chadema tu na kuilaani...
  5. K

    Majambazi wapora Buguruni kwa pikipiki aina ya Boksa!!

    Dakika tatu zilizopita majambazi wamepola hapa BUguruni sheli kwenye bakery ya kuuza mikate na vitafunwa. Wamekuja bila woga na pikipiki lao la Boksa na kuchukua mkwanja tena bila woga na kufyatua risasi juu. Mie niko bar ya jirani hapa junction ilibidi kidogo wateja wa junction tujifiche kwa...
  6. K

    Simba mfukuzeni Aden Rage mpate raha.

    Nidhani utsema simba "tumfukuze" Rage lakini kumbe ni simba "mfukuzeni" Rage; umepata lini hajira ya mshauri mwandamizi wa simba? Kaa kimya kwani adui mwobee njaa mkuu!! Siku nyingine tembelea jukwaa la michezo hapa siasa mkuu.
  7. K

    Mwenge wa uhuru wapata ajali Dodoma

    Warudi makwao wakafanye kazi sio kuendelea kuzurula tu huku wakisaga pesa za walipa kodi bure kwa kundeleza siasa mfilisi. Kwakweli siwapi pole kwani hii ni ajari ya kutafuta wenyewe kwa uzurulaji wao.
  8. K

    Kijiwe hatari cha kupanga uhalifu chadaiwa kulindwa na Polisi Buguruni

    Kweli kwa Zero napajua na ni kama umeweka ukweli kwani hapa biashara huwa ni usiku tu napitaga naona watu wengi inawezekana kweli hizo biashara ndo mahala pake make vijanavijana na mabinti poa hubarizi sana pale. Kazi kweli kweli.
  9. K

    Serikali ya CCM, muarubaini ni huu ili kuendelea kutawala milele

    Mkuu mleta hii mada kumbuka huu muarobaini wako unaotaka kuwanywesha magamba zako ni sawa na Dr anamwambia mgonjwa wa kansa kwamba ili apone lazima akatwe miguu, mikono na atolewe macho; atakubali? Ccm hawawezi kubali ushauri wako kwani nani awe wa kwanza kukubali mabadiriko na apoteze nafasi...
  10. K

    Tanzia: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Karagwe afariki dunia

    Naungana na wote katika kusikitika. Kumbuka sie tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi. Katika kumuenzi mzee huyu, basi kila mtu aahidi kufanya kila liwezekalo kuhakikisha tunalikomboa taifa toka mikononi mwa hawa wakoloni weusi mafisadi, a.k.a magamba. Mpaka kieleweke makamanda!!!!
  11. K

    Tanzia: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Karagwe afariki dunia

    TM ( Tumain Makene) hebu tuweke wazi ktk jambo hili kwani magamba wametuundia vifo bandia mala nyingi kutuchanganya. Kama ni kweli basi RIP kamanda na juhudi zako tuliziona wakati wa retreat ya karagwe mwishoni mwa mwaka jana.
  12. K

    Serikali itunge sheria kuzuia mavazi pamoja na vitu vinavyoashiria udini katika taasisi na ofisi

    Nakubaliana na mtoa hoja kwani kwenda kazini au darasani na rozari, tasbir, kofia au msalaba inaongeza nini ktk uwezo wako wa kazi au darasani? Huoni kwamba tunavaa vitu hivyo ili kujipambanua imani yako? Inasaidia nini kuonyesha imani yako pasipo kuulizwa? Nashauri itungwe sheria au katika...
  13. K

    Nyerere: Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM

    Bravoooo!!!! Nakupongeza kwa nukuu nzuri ya baba wa taifa na kuileta wakati muafaka. Tatizo wenzetu wamesha kata fuse zote hakuna kinacho ingia wala kutoka kichwani, akili yao yote iko kusaka urais kusudi watengeneze mitandao yao ya kifisadi kama dhaifu anavyofanya. Cdm kaza kamba ukombozi wa...
  14. K

    MKAKATI WA CCM 2015: ADC kuikabili CUF, CHAUMMA kuikabili CHADEMA

    Zito nakujua wewe ni member jf hebu jitokeze jibu hoja hii make imekaa kama kweli vile!! Nashawishika kuamini amini vile!! "Uchmbuzi mzuri big up"
  15. K

    Mnyukano wa meya na mbunge wa bukoba mjini waendelea kushika kasi

    Wanagombea nini? Au meya kaweka nia ya kugombea ubunge 2015? Tupe kisa kamili tafadhari.
  16. K

    Mwandishi wa habari Redio Kwizera-Kibondo Issa Ngumba atekwa na kuuawa

    Hajariport kuhusu mafisadi ndani ya CCM kwa hivi karibuni? Poleni ndg na jamaa!!
  17. K

    Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    Hakuna kumwonea yeyote ila kikubwa zaidi hakuna KUMWOGOPA yeyote kwani CHADEMA ni zaidi ya mtu. Chadema ndo imewajenga hao wanao jaribu kutumia umaarufu wao kuibomoa tena. Tuko pamoja na vyombo halali vya maamuzi ndani ya chama bila kuonea ila pasipo kuogopa mtu mpaka nidhamu irudi. Hongera...
  18. K

    Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Haya bwana le mutuz endelea kuwa msaarabu lakini wajua ukweli wote ukoje na mitaji hiyo ya biashara ilipatikana vipi na opportunities zilipatikana vipi!! Take care bro!
  19. K

    Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Le mutus jibu wewe na Fredy Lowasa mko sawa? Nyote si watoto wa ma PM wastaafu? Tena wewe zaidi ni mtoto wa makamu wa rais mstaafu kwa wakati kama sijakosea. Pili wewe umefaidi sana benefits za waziri mkuu kwani mlimaliza kipindi kizima bila baba kulazimishwa kujiuzuru. Haya tamka ki ukwasi na...
Back
Top Bottom