Search results

  1. M

    Watendaji wa serikali, vyombo vya dola na mahakama nanyi jiandae

    Muda si mrefu, jitihada za serikali kuuwa vyama vya upinzani na demokrasia kwa ujumla zitazaa matunda. Vyombo vya dola vitasaidia kuuwa demokrasia ndani ya Chama cha Mapinduzi na jumuia zake. Watawala watapata nafasi ya wazi kutoa maagizo na amri kwa manufaa mapana ya Jamhuri hii, kwa kuwa...
  2. M

    Baada ya taarifa ya CAG kusomwa kinachofuata ni kuwachukulia hatua watuhumiwa

    Taarifa ya mwaka wa fedha 2016/17 iliyotolewa na CAG inaitwa final accounts audit. Utaratibu wa ukaguzi huu unafuata kalenda. Mwaka wa fedha wa serikali unaanza tarehe 01.07 na kuisha 30.06. mwaka unaofuata. Mwaka wa fedha unapoisha afisa maduhuli hutakiwa kuandaa hesabu ya mapato na matumizi...
  3. M

    Onyo kwa Msajilii wa Vyama vya Siasa na CCM

    Nia ovu huzaa uovu. Nia njema hubarikiwa na Mungu na huzaa matunda bora. Uzalendo ni hisia ya mtu kukipenda kitu na katika hili uzalendo huelekezwa kwa Taifa. Wenye uaelwa mdogo, wajinga na wapumbavu wanaweza kuwa wazalendo kwa taifa lao. Na mtu mzalendo hawezi kufanya jambo ambalo matokeo...
  4. M

    Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ni kinara wa siasa za upinzani Afrika nyuma ya Raila Amollo Odinga

    Bila utafiti unapoteza haki ya kusema; ya fuatayo ni mambo nilyoyazingatia kufikia hatua ya kumtanza Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuwa kinara wa siasa za upinzani Africa. Ni mwana demokrasia makini na jasiri katika kutetea haki zake za msingi na watu wengine. Zifuatazo ndizo sifa zake :- 1...
  5. M

    Hivi Mwl. Julius Nyerere angepona kuitwa mchochezi?

    Miezi ya mwanzo ya mwaka 1995, Mwl. Nyerere alisisitiza umuhimu wa kuwa na rais anayeheshimu katiba ya nchi na sheria zilizopo. Zipo dalili za wazi kuwa hali ni tofauti kwa sasa, utawala wa sheria unaelekea kifungoni, katiba ya nchi inavunjwa usiku na mchana, sheria za nchi zimewekwa kando, watu...
  6. M

    Je, Chadema bado tunazo sababu ya kumuunga mkono Uhuru Kenyatta?

    Uongozi wa juu chama cha CHADEMA ulitangaza kumuunga mkono Mhe. Uhuru Kenyatta, kwa sababu kuwa ni kiongozi ambaye anafuata utawala wa sheria na hajawasumbua wapinzani wake, hasa NASA. Ninataka kujua hadi sasa CHADEMA bado tunazo sababu za kuendeleza msimamo huu?
  7. M

    Ujamaa ni njia sahihi ya kutoka kwenye umasikini

    Jan huko Devos, Switzerland; rais wa China ya Mao alitetea utandawazi wakati Waingereza na wamerakani wanatetea kulinda viwanda vyao. Wamebanwa mbavu, hawana njia nyingine ya kupumua, na kwa bahati mbaya hawataokoka. Waingereza na Wamarekani wanadhani, kufunga milango ya uchumi wao kama...
  8. M

    Maana ya mto ngono na eneo la katerelo hayana uhusiano na tabia ya uasherati

    Wakati Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akihutubia wakazi wa Mkoa Kagera, alionyesha kuhusisha janga la ukimwi na tabia ya uasherati na kuonyesha kama lilikuwa janga la kujitakia. Alionyesha maneno "mto ngono" na neno "Katerelo" kuyahusisha na tabia ya uasherati. Leo hii...
  9. M

    Kumbe taasisi ya urais ni rais na makamu wake, waliosalia ni vibarua?

    Nilijua kuwa taasisi ya urais ni baraza la mawaziri, kumbe wale wote ni vibarua, taasisi nzima ni rais na makamu wake. Kwa tafsiri hii ya Rais aliyoitoa jana, kuna kila sababu kuanzisha mchakato wa katiba mpya ili kuondokana na maisha ya taifa kuwa mikononi mwa watu wawili. Kuanzia jana, ile...
  10. M

    Msaada: Nahitaji kusajili shule kwa jina la Prof. Abdulrahman Mohamed Babu

    Mimi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Rwizile Family and Friends Company Ltd. Tunanataka kufanya usajili wa shule kwa jina la Prof. Abdulrahman Mohamed Babu- (1924-1996) A revolutionary Nationalist from Zanzibar- kuanzia chekechea hadi high school. Wizara ya elimu wametuangiza kuwa ni lazima tupate...
  11. M

    Kama Kagame ni mfano wa kuigwa wa Rais Magufuli, Tanzania tuna bahati mbaya

    Mara nyingi watetezi wa mtindo wa kiimla wa Rais, Mheshimiwa, Dr. J.P Magufuli wanahalalisha matendo yake kwa kuyalinganisha na ya Rais wa Rwanda, Mheshimiwa, Paulo Kagame. Wanasema Rwanda imepiga hatua kubwa ya maendeleo katika kipindi kifupi. Tangu mauaji ya Kimbali ambayo maisha ya binadamu...
  12. M

    Ni mfumo upi wa uzalishaji mali unaowafaa watanzania kwa sasa?

    Bila kuangalia vipengele vidogo vidogo vya mifumo ya uzalishaji mali, ipo mifumo mikuu miwili; yaani Ujamaa na Ubepari. Kutokana na maendeleo ya dunia imedhihirika sasa hakuna mfumo ambao unaoweza kujisimamia ukaleta tija kwa taifa lolote lile. Matokeo yake umezaliwa mfumo mwingie ambao ni...
  13. M

    Nani alisafiria nyota ya mwenzie kati ya CHADEMA na E.N. Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015?

    Zipo hija mbili zinazopingana, hoja moja inasema CHADEMA wamenufaika sana na ujio wa Lowasa kuwa mgombea wake. Na wapo wanaosema kuwa sio kweli ila Lowasa alisafiria nyota ya CHADEMA baada ya kukatwa na CCM. Nini maoni yako? Majadiliano yawe ya kisayansi na tuachane na ushabiki wa aina yeyote.
  14. M

    Kuteuliwa kwa Dr. John Pombe Magufuli kutawezesha kampeni za mwaka huu kujadili hoja za msingi

    Sasa ni dhahiri kuwa kampeini za uchaguzi mkuu mwaka huu 2015, zitalenga masuala makubwa ya taifa hili. Tutaachana na mapungufu ya wagombea wenyewe na kujikita katika masuala makuu ya kuliletea taifa hili maendeleo.Kwa mfano:- 1. Je, sio kweli kwamba kasi yetu ya maendeleo inafifishwa na...
  15. M

    Udini ulianza baada ya uchanguzi wa mwaka 2005 na CCM ndiye mwaasisi wake

    Katika uchaguzi wa mwaka 2005, mgombea wa CCM aliungwa mkono na wapiga kura kwa zaidi ya aslimia 80. Na hakuna chama kilicholalamika hadharani kuwa kura za mgombea wake zimeibiwa. Ninakumbuka hata Mheshimiwa Mbowe, alihudhuria kuapishwa kwa Mheshimiwa Kikwete na malalamiko makubwa yalikuwa...
  16. M

    Pinda na Makinda wamefanikiwa kuposha mjadala wa posho za wabunge

    Nina uhakika wa kutosha posho za wabunge hazikuwa zimepandishwa. Ndio maana katibu wa Bunge anashikilia msimamo kuwa posho hazikuwahi kupandishwa. Mgogoro ulianza baada ya gazeti la mwanahalisi kuonyesha hati ya malipo aliyoitumia Jairo, katibu Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati kuwalipa posho...
  17. M

    Kwa nini ni lazima CCM iangushwe katika uchaguzi wa mwaka 2015

    Watanzania kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini baada ya uhuru walielewa kuwa uongozi wao ulitokana na wao wenyewe. Viongozi walikuwa ni sehemu yao kwa kila jambo. Kwa mfano; watoto wote walisoma shule za aina moja na kupata huduma sawa bila ya kujali vyeo vya baba na mama zao.Walipata matibabu...
  18. M

    Hivi kutoa misaada kwa miradi ya wananchi ndio kiwe kigezo cha kuwa kiongozi wa umma?

    Taifa hili linaelekea kupoteza mwelekeo wa maendeleo kabisa na inaelekea kama CCM haitaendolewa madarakani katika uchaguzi wa mwaka 2015, tutapotea kabisa kama Somalia. Mwanzoni mwa miaka 80, nchi kama Somalia ya Siadi Bare na Zaire ya Mobutu zilitawaliwa sana na ufisadi kama tunaouona hapa...
  19. M

    Mheshimiwa Pinda amewasaliti Watanzania na kwa kosa hili hasameheki

    Katika sakata la Jairo, gazeti la mwanahalisi lilituonyesha orodha ya watu waliolipwa posho ya Tshs.280,000 kwa siku kwa Mheshimiwa Pinda, Spika wa Bunge, Mama Anna Makinda. Watu walianza kuhoji, uhalali wa waheshimiwa hawa kukubali posho kubwa kiasi hicho kwa msaa machache walizo kaa katika...
Back
Top Bottom