Usiwe na uwezo mdogo wa kufikiri ndugu. sidhani kama mlipaji ni tatizo, unaweza hata ukapewa ww ukalipe. Kumbuka ile ni Invoice na si receipt ya malipo. Pia hiyo $ 19,575,000 ni TSH after exchange rate ambayo i guess walifanyiwa sawana karibu 2150.
Hakika wachukuliwe hatua kwa kupotosha ndugu zetu walemavu wa macho kwani kwa kupitia taarifa hii, mlemevu wa macho atalazimika kununua gazeti kwa kuamini taarifa iliyopewa kipaubele katika gazeti fulani ilihali si sahihi.
Please please TCRA work on it.
Umechanganya mada zaidi ya moja mkuu. Atahivyo naunga mkono hoja ya kua huyu msomi B. Bana anapotosha na anajishushia thamani sana. Inampasa afanye political comparative analysis kabla ya ku appear katika media. Poor bana benson
Imani yangu mdahalo utakwenda kuwasaidia watanzania walio wengi kufanya maamuzi sahihi wakati ukifika. Na wala hawatakiwi kuongea kwa woga please they should try to split black from the white and the rest.
Hahahaha,Jamani acheni kabisa mlio wa Risasi ni habari nyingine.
Ilipotokea pale Buguruni watu waliingia kwenye Daladala bila kujua wanaenda wapi.Kufia mbele mtu anakuambia ee huku wapi?
Wengine wakachukua Taxi kufika mbele anampa Dereva nauli ya Daladala.
Risasi ikipigwa eneo la wazi ni...
Ndugu wanajamvi wenzangu, kuna binti ni jirani yangu kanifuata kuomba ushauri kwa kuwa mtaani naitwa jina la Doctor akidhani mimi Doctor kweli kumbe jina.
Inasikitisha kwa umri wake, ila yafaa apate msaada kwani kanisimulia alikua na Ujauzito wa mwezi na akautoa week moja iliyopita, ila bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.