Search results

  1. R

    Utafiti juu ya sera mfumo kristo

    Bila ukristo hata wewe mtoa maada usingekuwa unaishi. Mngechapana nyinyi mpaka mkaisha. Mungu awasaidie hasa wewe mleta maada usiyeelewa hata unaachoongea.
  2. R

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Siwadharau lakini, sioni hoja ya msingi ya kuihusisha serikari mambo ya dini. Wanaweza kufanya harafu wakaiambia serikari wameamua nini. Ilimradi wasiingilie katiba isiyokuwa na dini.
  3. R

    Did Mwalimu die a natural death?

    Nionavyo mimi Muuliza swali ulitakiwa utoe hoja kwa kuanza na maelezo ambayo katika hayo anaona kuna utata na kisha kupitia ushahidi wa maelezo yako uulize, je kutokana na ushahidi huu mkubwa alikufa natural death?
  4. R

    List of top universities & colleges in Tanzania 2011

    Jamani St. Joseph cha ngapi? pleeeeeeese tell me.
  5. R

    Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

    Duh kweli wewe siyo mtu mzima, na kwa taarifa yako jamaa amepatia. Kama ulikuwa hujui leo jua, ujerumani ina raisi na alishawahi kuja tanzania miaka kama 2,3 iliyopita. Nenda google tafuta ujue mambo. Na kwa kukuongezea Israel nao wana raisi. Acha kuongea mambo ambayo hujui. Unamjua...
  6. R

    Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

    kweli, kwa sababu zito kabwe na halima mdee wanaimba kwaya ya upendo kijitonyama.
  7. R

    Upendeleo wa wazi TBC Habari

    Truly speaking TBC wanaboa. Sina imani sana kwamba ni television ya Taifa au ya serikali iliyoko madarakani. Kuhusu maandalizi ya vipindi labda tuwaundie tume. Infact wanaogopa yaliyomkuta Tido.
  8. R

    Zitto afunika Igunga

    We mdogo wake nape nini?
  9. R

    NAPE akiwa Mwanza afunguka kuhusu CCM kupoteza mvuto

    Of course ukiwekwa sehemu lazima uwatumikie waliokuweka. Nape anatumikia waliomuweka.
  10. R

    Upendeleo wa wazi TBC Habari

    Truly speaking TBC wanaboa. Sina imani sana kwamba ni television ya Taifa au ya serikali iliyoko madarakani. Kuhusu maandalizi ya vipindi labda tuwaundie tume. Infact wanaogopa yaliyomkuta Tido.
  11. R

    Hi to you all

    Thanks for impressing me, because your impressions has conviced me to join the forum. Let's use this place for benefits. I love you all.
Back
Top Bottom