Search results

  1. SnowBall

    Nimerudi JF

    Nambie chochote kama sehemu ya kunikaribisha tena ... I missed JF
  2. SnowBall

    Kwa Mwanamke hapa anaanzaje?

    Hebu fikiria...ni wewe kidume uliyemtoa bikira. Kiwango chake cha 'kuperfom' unakijua... mara ghafla kaja na 'styles' mpya....utamuelewa? Tuseme alikuwa hajui kitu..na kupitia masimulizi kajua anahitaji kuimarisha 'kiwango' chake Hivi hapa anaanzaje kuleta hayo manjonjo mapya?...ili isionekane...
  3. SnowBall

    Umenifanya nirudi JF mapema!

    Najua hujijui kama huwa unanikosha.. Najua pia hujui kama umebarikiwa moyo wa upendo... Sijui ni Mimi tu au na wengine wanakuona ivo?..naomba nikukute ukingalipo.. anyway umenifanya nirudi JF mapema maana nakukosa.. Am back again where I belong to..
  4. SnowBall

    So Sad!...@SnowBall nawaageni hapa MMU..

    Wanabodi heri ya mwaka mpya kwenu wote Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa kwa muda mrefu kidogo...Lakini pia niwashukuru nyote kwa kunipokea. Tumeishi vizuri na mmekuwa msaada kwangu kwa kipindi nilichokuwepo hapa. Ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitakuwa na ninyi kama...
  5. SnowBall

    Kumwambia Mumeo Kila Mtongozo!!..Ndo Uaminifu Au????

    Wanabodi Wasalaam Aleyikum! Natumaini nyote mu wazima na Afya mujaraab kabisa tayari kuusubiri mwaka mpya baada ya kipute kizito cha Sikukuu ya Noeli. Leo bana nisiwachoshe sana ila nilikuwa na mada flani ambayo nilitaka tuishee. Hii inawaangazia sana kina mama ila kama kina baba wapo...
  6. SnowBall

    ' Mimba yake Imenipenda'...kuna ukweli hapa???

    Wanabodi Asalaam Aleykum!!!!! Natumaini nyote mko poa na mnajiandaa vizuri kuzipokea sikukuu za mwisho wa mwaka. Leo bana nimeona nishee na nyie jambo flani ambalo kadri siku zinavyoenda naona kama litaniletea shida. Ni hivi: Hapa ofisini nilipo, tupo kama watu sita hivi na kwa bahati nzuri...
  7. SnowBall

    JF Arusha Wing nimewakubali...ntarudi tena!!

    Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya wale wa Arusha. These guys wako smart and generous...try them na utaniambia...I promise u guys...
  8. SnowBall

    'Kwa nini hatukuonana zamani'???

    Wanabodi natumaini hamjambo. Jana nilikutana na mtu mmoja hivi na katika mazungumzo yetu mwenzangu akawa kavutiwa na mazungumzo yangu...Tulizungumza sana na actually the talk was nice. Ila mwishoni wakati tunaagana kama mtu aliyekata tamaa akasema 'kwa nini sikukuona tangu mwanzo'??? sasa...
  9. SnowBall

    Kumdhibiti mpenzi wako!!...ni woga au ndo mapenzi??

    Wanabodi natumaini nyote hamjambo! Kwa muda mrefu stori nyingi zinazohusu mapenzi zimegubikwa na migogoro mingi inayotokana na wapenzi husika kuhisiana kukosa uaminifu baina yao. Kwa kuhisi kuwa wanaweza kuibiwa, wapenzi wengi wamekuwa wanawekeana 'njia' nyingi za kudhibitiana. Tumesikia...
  10. SnowBall

    Utani wa mchumbaangu/mumewangu/ mumewangu maofisini...mmmmh!

    Wanabodi Ijumaa Kareem Natumaini sote tuko poa. Kuna jambo nimekuwa nikiliona kwenye maofisi mengi ambamo nimepitia na nilipojaribu kuwauliza baadhi ya marafiki zangu wafanyao kwenye ofisi zingine nao kwa bahati mbaya wamekiri kuliona. Jambo lenyewe ni lile la baadhi ya staff wafanyao sehemu...
  11. SnowBall

    Namtafuta pacha wangu wajameni...nani kanioneamo??

    Wanachitchat leo ni karibu siku ya tatu sijamuona pacha wangu. Hivyo kwa heshima na taadhima ninaomba atakayemuona ampeleke kwenye laptop, simu, computer au kwenye tablet yeyote yenye application ya jf! Wasifu wake Jina: snowhite Kabila: zamani alikuwa mhaya ila kabadili kawa mhadzabe siku...
  12. SnowBall

    Mshikaji wangu ni bange mtu!!!!...saidia tumsaidie...

    Wanabodi Wasalaam Aleyikum Kwa kuwa JF ni kisma cha hekima na busara nimeona nishee na ninyi hiki kisanga ambacho nimekipata kwa shemeji yangu. Na ni tumaini langu kuwa mtasaidia kutoa maoni na mawazo yenu ili kwa pamoja tuone tunafanyaje. Kisanga chenyewe kiko hivi: Kuna mshikaji wangu mmoja...
  13. SnowBall

    Nimemshusha kwenye pikipiki ya mumewe bila kujua...who's to be blamed???

    Wanabodi Wasaalam Aleyikum! Kuna jambo moja nimelifanya leo kwa nia njema tu lakini baada ya kukaa ofisini nimekuwa kama nimejishtukia ..hebu naombeni uzoefu wenu katika hili.... Issue yenyewe ni kuwa leo asubuhi wakati natoka nyumbani nikiwa kwenye usafiri binafsi baada ya kutembea walau...
  14. SnowBall

    Ukijikwaa..ni kweli inauma!!..but huko ndo kujua njia.....

    Wanabodi...Natumai mu wazima sana! Kwa wale walio kwenye mfungo natumaini swaumu inaenda vizuri na soon kitu cha idd kitawasili..na kwa wale wenzangu na mie najua maisha yanasonga kama kawaida.... Naomba nikiri kuwa sikuwepo hapa jamvini kwa muda mrefu kidogo..na hii ilitokana na mbilinge za...
  15. SnowBall

    WanaJF wa Dom mko wap?...i SnowBall nipo hapa makao makuu.....

    Chit chatters mpo? Najua JF ni Chama kubwa na ninaamini hata hapa Idodomya members wapo. Binafsi nimeingia mji huu na ntakuwepo kwa muda...kama vipi Hebu tutafutaneni ili tubadilishane mawazo na kufahamiana...... JF forever and can't wait to meet my fellow members from JF......
  16. SnowBall

    ..Hivi navyo vinakera basi tu.....

    Wanabodi nadhani hatujambo! Kuna baadhi ya vijitabia bana vinakera sana..Hii ni kwa mujibu wangu lakini...Baadhi nimevioredhesha hapa chini..kama na wewe unadhani vinakukera hebu tusaidiane kuvisema ili tuvitokomoze. 1.Umenikuta na mtoto wa kike humjui ni nani kwangu mara ushaanza 'SHEMEJI...
  17. SnowBall

    '..If Wishes were Horses, Beggars would Ride...'

    Wanabodi natumani mu wazima! Labda nianze hivi..mara nyingi kama binadamu kila mtu kwa nafasi yake huwa 'anatamani' kitu flani maishani mwake. Anaweza kutamani kuwa kama mtu 'flani' ...kuishi maisha flani, kumiliki vitu 'flani' au wakati mwingine kuwa na mwenzi wa aina 'flani'. Ila kwa bahati...
  18. SnowBall

    Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

    Wanabodi habari za weekend?? Nakubali ndio MAPENZI ni 'phenomenon' ya ajabu...Mapenzi bana wanasema yanakujaga tu kama mvua...Na wengine wanasema ukipenda waweza kuwa kipofu..nyekundu ukaiona samawati na njano ukaiona kijani...Lakini pamoja na kizungumkuti kinachohusu mapenzi hivi katika hali...
  19. SnowBall

    Kumridhisha kila mtu ni vigumu....sema tu na moyo wako!!!

    Wanajamvi habari? Nionavyo mie katika maisha yetu kama kuna kitu ambacho kinatuboa wengi ni maswali yasioisha na hata pale unapodhani umewaridhisha wauliza maswali...lolz...usijidanganye ndio kwanza yanaanza. Kikubwa ni kuelewa tu MASWALI hayatakaa yaishe na wewe ukifanya jambo lako jitahidi...
  20. SnowBall

    Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

    Wanabodi salama? Najua ni BLUE MONDAY..lakini sio issue sana mradi jamvi lipo naamini hakuna kinachoharibika... Kumekuwepo na 'myth' kwamba LOVE IS BLIND...ikimaanisha kuwa mara nyingi mapenzi ni UPOFU..na unapokuwa unampenda mtu huwezi kuona hata yale yanayoonekana kwa wenzio (kwa wale waabudu...
Back
Top Bottom