Search results

  1. SoNotorious

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Jafo kama waziri ana nafasi kubwa kuliko mbunge yeyote. Yeye anaweza kuliongea kwenye kabineti lakini bungeni pale ni porojo.
  2. SoNotorious

    Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

    Umemwaga usaa wote mkuu
  3. SoNotorious

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Academic performance has lots with the public interest. The public has the right to access and to know.
  4. SoNotorious

    DAR: Polisi walizuia Kongamano la chama cha ACT Wazalendo, Millenium Tower

    Great Lakes magnitude of dictatorship.
  5. SoNotorious

    Tujadili jinsi ya kuwa nchi ya Viwanda

    Soko haliwezi kugeuka kuwa kiwanda, usitie maanani maneno ya kuombea kura. Leta topic ingine.
  6. SoNotorious

    Manji angalikuwa Dangote Coco Beach angalipewa na nyongeza juu

    Anawambia wafanyabiashara atakae wakwamisha katika harakati zenu za uwekezaji niambieni moja kwa moja haikupita sekunde anapiga mkwara Manji asiwekeze coco beach. Halafu wafanyabiashara wakapiga makofi, nikabaki na mshangao.
  7. SoNotorious

    Kasi ya Prof. Muhongo kuondoa umasikini Musoma Vijijini inatisha

    Hii nchi watu wake wengi ni wajinga kiasi kwamba hawaelewi mbunge ni nani na kazi zake ni zipi,? Najaribu kutafuta sababu ya watu Musoma vijijini kuichagua ccm tena baada ya kuwaletea umasikini kwa miaka nenda narudi. Hili ni jimbo masikini kabisa katika Afrika.
  8. SoNotorious

    Zama Zetu: Kijarida cha Mabadiliko - KUJIPANGA KWA MAGUFULI

    Mwanakijiji yuko obsessed na Magufuli. Nilihisi kapatwa na hysteria wakati wa kampeni kumbe kawa nwendawazimu kabisa.
  9. SoNotorious

    Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    Nilimchukia sana wakati wa bunge la katiba huyu mhuni atakutana na kiangazi siku zote
  10. SoNotorious

    Wazungu wanawalaumu Jews kwa ugaidi unaoendelea kwa sasa.

    Jews wa Ufaransa wanashambuliwa na biashara zao pia. Usiwe zoba ni conspiracy theory mara nyingi ni hoax kwa ajili ya kuwapumbaza wajinga. Sensa zote duniani zinathibitisha wajinga ni wengi kuliko werevu. Ndio maana mwaka huu sikupiga kura kwa sababu nilijua wajinga watashinda kwa sababu ni...
  11. SoNotorious

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Humjui Mawazo hivi unajua matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa mapema mwaka huu kwa mkoa wa Geita CCM ilipigwa chini? Unajua ccm imeshindaje uchaguzi mkuu mwezi uliopita mkoa wa Geita? Tafuta majibu ya hayo maswali ndio utajua kwa nini Mawazo ni tatizo.
  12. SoNotorious

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tunataka kazi we unashangilia porojo. Hii nchi wajinga wako wengi.
  13. SoNotorious

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Bado una hangover ya Jk, hii nchi sio omba omba ima jk ndio alikuwa ombaomba
  14. SoNotorious

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Kuna wajinga hawajui hili
Back
Top Bottom