Kweli kabisa kwani Watu hawajaelewa kama technology inaadvance kwa kasi sana and People need to rgo hand by hand, foot by foot, kuwa karibu kwani iwakuwa Profitable kwetu pia.
Visit <a href="http://ict4td.webs.com/> ICT4TD Learning Centre</a>
Na ujifunze mengi chungu mzima...
ICT4TD Learning Centre ni centre ambayo imejikita zaidi katika maswala ya kuelimisha jamii hasa vijana katika maswala yanayohusiana na Technohama kwa ujumla.Centre hii imebase zaidi katika kufundisha kwa kutumia zaidi Linux Software.Linux inapendwa zaidi na sasa hivi iko juu ukilinganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.