Search results

1. D

Dege jipya la Air Tanzania (ATCL)!!!

Hii ni zaid ya ndege.Mi nilifikir ni ile meli ilyozama zanzibar imetolewa! haya sasa kenya,Ug,Burnd na Rwanda mki2chokoza mmekwisha,2na B100 ya kivita.
2. D

Dr Godfrey Charles

Habar zenu wanajf.Naomba mwenye namba ya cm ya doctor mtajwa hapo juu anisaidie.Ni yule wa mbezi kwa msuguri
3. D

Ni maziwa gani mazuri kwa watoto wachanga wa chini ya mwaka mmoja

vp maziwa ya soya yanafaa kwa mtoto?je kwa mama mjamzito?
4. D

Mapigo ya moyo kwenda haraka haraka, naomba ushauri

Ahsante,ngoja ni msubir anaweza kunisaidia.
5. D

Mapigo ya moyo kwenda haraka haraka, naomba ushauri

Ahsante kwa ushaur wako nitaufanyia kazi.
6. D

Mapigo ya moyo kwenda haraka haraka, naomba ushauri

Habari zenu wanaJF. Mimi nina tatizo la mapigo ya moyo kwenda haraka haraka sana, kuchoka bila ya kufanya kazi na nikifanya mazoezi kidogo hali inakuwa mbaya, nahema sana. Nimefanyiwa vipimo vya moyo ECG na ECO, Regency na KCMC nimeambiwa moyo hauna tatizo. Ugonjwa huu umeanza tangu 2003...
Back
Top Bottom