Search results

  1. N

    Hatimaye wanafunzi wa kitanzania nchini msumbiji wahamishia makazi ubalozni nchini msumbiji

    Hatimaye sitofahamu inayo endelea kati ya WANAFUNZI na UBALOZI na SERIKALI kwa ujumla nchini msumbiji,wanafunzi hao waliamua kuhamishia makazi yaoubalozi wa Tz uliopo katikati ya jiji la maputonchin msumbiji, Wanafunzi hao wanadai mpaka sasa hawajajibiwa wala kutoa tamko lolote la kimaandishi...
  2. N

    Mkataba mwingine feki-wanafunzi wa tz msumbiji

    Inasikitisha kuona hapa tz mwanafunzi ananyimwa mkopo wakati serikali hiyohiyo inamgharamia mwanafunzi mmoja TSh 20,525,000/= kwa mwaka hapo nchini msumbiji. Kwa habari za kuaminika nilizozipata zinasema kuwa wanafunzi hao wa kitanzania ni 29 waliopelekwa chini ya mpango wakubadilishana...
Back
Top Bottom