Search results

  1. L

    whether goverment property are attachable

    naomba mnisaidie ktk hili pamoja na vifungu husika
  2. L

    Natafuta kitabu Human Rights cha C.P MAINA

    asanteni wana jf nimekipata pale udsm faculty of law
  3. L

    Natafuta kitabu Human Rights cha C.P MAINA

    Thanks kwa idea yako Kaumza nitaenda huko!
  4. L

    Natafuta kitabu Human Rights cha C.P MAINA

    nashukuru sana MIZIZI hicho kitanifaa nawezaje kupata nakala hiyo mi nipo dar actually kitabu hicho kina title human rights in tanzania selected cases and material published 1997 na CP MAINA.
  5. L

    Natafuta kitabu Human Rights cha C.P MAINA

    wanajf mi natafuta nikinunue kitabu cha human rights in tanzania cha chris peter maina nimezunguka maduka la dar es salaam printers, tanzania publishing house,scolastica bookshop bila mafanikio yeyote anayejua kitabu hiki kinapouzwa anifahamishe nikinunue au aniuzie namba yangu 0713 747 679
  6. L

    law school

    <br /> <br /> nanky sasa tueleze advantage na disadvantage zake na ni kwa vp kuanza masters kuliko law school inasaidia wengi tuko dilemma
  7. L

    Kipi bora: LLM Vs Law school?

    yap na mimi nilikuwa na mawazo hayo ! tunaomba wana jf watushauri kulingana na jinsi wanavyoona trend ya soko inavyokwenda, au kama inawezekana vyote kusomwa PGDL & LLM simulteneously pamoja na advantages na disadvantages zake pamoja na kutupa testmonials za successive key people.
  8. L

    equivalent candidates wanaotaka kusoma LLB wanapewa mkopo hesbl?

    ok ahsante wacha nikaze buti nijikomboe
  9. L

    equivalent candidates wanaotaka kusoma LLB wanapewa mkopo hesbl?

    hivi karibuni nimeona kwenye web ya heslb kwamba equivalent entry candidate ambao hawasomi ualimu na sayansi siyo eligible candidate kukopeshwa elimu ya juu nauliza wanajf nimeelewa sahihi ? binafsi sasa nasoma diploma ya sheria natarajia kusoma LLB mwakani je nitapata mkopo? na kama ctapata...
  10. L

    Sheria ya Ardhi ina makosa

    namimi naongeza kwamba ni sahihi kuwasiliana na wataalam kabla ya kufanya biashara yoyote maana cku hizi usanii ni mwingi kila mtu anatafuta pesa kwa njia anayoifahamu
Back
Top Bottom