Search results

  1. jacjaz

    Wanaume wengi wanao "date" na wanawake waliowazidi umri, wengi wao walikosa mapenzi ya mama

    Wanawake wakubwa akili zao tayari zimetulia,hawa wapenda tiktok wanakuwa bado wako tuisheni ya maisha. Kila kitu wanajua,ni ubishi na kuchallenge hata vitu vilivyo wazi ilimradi waonekane na wao kuna input yao kwenye mahusiano. Na kama wote tunakipato kwanini mnataka huduma kama vile ni wake...
  2. jacjaz

    Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Yaani wanawake ni viumbe dhaifu ndio maana wakiombwa wanatoa!? Basi sawa,naona mleta uzi hujawajua vizuri wanawake na wanaume. Haswa hao single mamas,Wana mengi hujayajua achilia mbali hizo stori unazozisikia vijiweni.
  3. jacjaz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Akijibu namimi nishtue kaka. Minyororo ikatike
  4. jacjaz

    Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

    Nyumbi hii bombi hii...
  5. jacjaz

    Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

    Dar - Iringa masaa 6 au 5:30,saa 10 umefika mbeya. Dar - Songea masaa 11 au 12. Ruvuma line,Comfort ilikuwa kawaida hizo route kutembea kwa mida hyo
  6. jacjaz

    Ali Kiba, tunaoumia ni mashabiki zako, chamgamka acha mapozi

    Sio shabiki wa Ali Kiba. Ungekuwa shabiki hakika ungejua yanayoendelea kuhusu yeye na wasanii wake. Acheni mambo ya kuchafuana namna hii,aliyekutuma hakukupanga vzuri dogo.
  7. jacjaz

    Nakaribia kula tunda lakini nahisi kuna mahali nakosea, niongezeeni maujanja ili nisikose hili tunda

    Mazee unaandika kwa staili ya aina yako ujue. Sasa kama hutaki tena kimasihara,umebadili maana nzima ya uzi na kichwa cha habari. Si kesi,wewe kwasasa mpotezee. Huyo atarudi mwenyewe na majibu mazuri na utakula kiulainiiiiii sana. Wahi seminars mzee baba.
  8. jacjaz

    Nakaribia kula tunda lakini nahisi kuna mahali nakosea, niongezeeni maujanja ili nisikose hili tunda

    Umeimbisha na ukapewa majibu,haijalishi mazuri au mabaya,hapo masihara hayapo tena. Tatizo mleta mada hukuelewa ule uzi vzuri na mko wengi sana mnapuyanga mbali na maana halisi ya masihara.
  9. jacjaz

    Liverpool mbona kulimwaga huko England ni dakika sifuri

    Tatizo hujaweka wazi,hizo timu zilikuwa zinaongoza zikiwa zimecheza mechi zaidi ya wanaofuatia au kwa idadi ya mechi sawa?! Pia weka wazi nini kilitokea miaka hyo kusababisha hao walioongoza kushindwa kubeba ndoo. Kisha ndio uifananishe Liverpool ya sasa na hayo mazingira kabla hujafunga mjadala...
  10. jacjaz

    Hello! I am new member

    I am very interested pia...
  11. jacjaz

    Anayoyafanya mumewe anataka nimfanyie yeye

    Mjibu nawewe huwa huachi hela,hivyo bora mumewe kuliko wewe
  12. jacjaz

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Enzi za prof Luhanga hizo nadhan
  13. jacjaz

    Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

    Haina haja. Yeye afanye yake na sio kuwatafuta watu ili aonekane mwema. Kwenye Press conference alisema "kuna wasanii weng watashiriki ila nmeambiwa nisiwataje majina,tena meneja babutale kaniambia hadi Ali Kiba anataka kushiriki". Sasa wasanii hukutaja majina,huyo mwingine unamataja wanini kama...
  14. jacjaz

    Nahitaji ushauri: Kila Mwanamke ninayempata huwa naona sio standard yangu

    Tatizo hujasema hiyo hadhi yako ni ipi au ikoje?Ni kipimo gani unatumia kusema hawana hadhi yako?
  15. jacjaz

    Mke wangu ana mahusiano na dereva wa bodaboda, mbaya zaidi anamuhonga pesa zetu za akiba

    Nilichogundua hawa viumbe wakiwa wapweke,wanamaamuz ya ajabu ajabu sana. Wanaume kuna Mpira,pombe,washkaji,marafiki wanaweza kukusaidia hata kimawazo kukutoa huko. Ila hawa viumbe hawana mbadala/anayekaribia mbadala km hapo juu. Wao suluhisho ni mwanaume mwingine tu. Bodaboda nao ni wanaume km...
  16. jacjaz

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Ni chatting au charting?!! Maana mim wa dhis iz a basket napataga tabu sana na hizi lugha zenu
  17. jacjaz

    Chama cha Wanaume wa Mikoani waishio Dar (CHAWAMIDA)

    Hii Dar mnayoizungumza ni ipi?!! Mbona huku kitunda,kivule,Mwanaghati na maeneo ya karibu na hayo sioni hao wanaume??
  18. jacjaz

    Wimbo gani wa hillsong united unaupenda sana?

    Duh,kumbe ladha tofauti sana...simple as it is,Emmanuel...
  19. jacjaz

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kila tukienda Wembley tunaumia tu,huu ndio muda Klopp kumaanisha kile kinachoaminika kwa kuvunja huu uteja wa muda kuhusu ule uwanja.
  20. jacjaz

    Kidau na TFF wamesogeza kuni jirani ya moto, Simba wameona isiwe tabu, wamezichochea ziwake

    Kama Yanga hawajui sheria in wao na ujinga wao. Usitake tufanane.
Back
Top Bottom