Search results

  1. S

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hakika CCM wanaweweseka sana na hawana njia ya kukabiliana na M4C,maana ni moto na jamii imebadilika na imepokea M4C zaidi ya CCM walivyokuwa wanafikiri. Cha msingi CHADEMA izidi kusonga mbele,kata kwa kijiji na tukishakuwa na viongozi kwa kila kijiji tunasonga mbele nyumba kwa nyumba,mwaka...
  2. S

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Mungu yu nawe,na haki ya kila mwananchi inaweza kucheleweshwa,lakini itakuja tu!!!
  3. S

    Yanayojiri mitaa ya Jiji la Dar na vitongoji vyake kuelekea mkutano wa chadema Jangwani leo

    Jamaa yangu kweli sijui nikuelezeje,unafikiri ni Chama Chenu Cha Mafisadi! Mda wa kazi ni mda wa kazi,Bila shaka umezoea harakati za wazee wa kijani wakipita kuanzia asubuhi na magari yao wakigawa vijisenti,wakibembeleza raia/vijana waende kwenye mikutano na kuwasomba raia,Hii bwana asubuhi...
  4. S

    CHADEMA yawa gumzo Mtwara

    Ni ukwelu usiopingika kuwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania bado wanaamini kuwa CCM ndo chama imara,lakini wakifikiwa na kuelimishwa wakajua nchi inakoelekea,matatizo tuliyo nayo ya maisha magumu kwa ujumla yanatokana na sera mbovu za chama tawala,wataelimika na kuchukua uamzi sahihi.Cha msingi...
  5. S

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Weraweraaaaaa!!!! Hongera CDM, ndo mwazo wa MAPAMBANO NA USHINDI UPOOOO!!
  6. S

    I need a born again husband

    Saafi sana mpendwa! Cha msingi uzidi kumwomba Mungu akujalie yule unayemtamani na utakayeishi naye kwa raha na amani.Mimi ni mvulana siyo mchaga,nimeokoka nampenda Mungu, na natafuta msichana mwenye kumwopa Mungu, asiyependa makuu ambaye tunaweza kuishi pamoja,ktk shida na raha, ambaye atapenda...
  7. S

    JK na wabunge wa CCM Dodoma kimenuka

    Kwa umri wangu huu mdogo wa angalau miaka kama thelathini, sijawahi kuona na kushuhudia wabunge wanaosahau wajibu wao wakiwa bungeni.Sijui hiki kizazi cha wabunge wa CCM (walio wengi), japo wachache kusahau kuwa wakiwa bungeni wanawakilisha wananchi wa majimbo walikotoka.Nilitegemea watasimamia...
  8. S

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Huo ndio ukweli, watanzabia tufikie hatua tukubaliane na ukweli,hatuna viongozi makini,tuna kila kitu cha kutufanya tusiwe ombaomba,viongozi wetu wameuza/weka rehani nchi yetu,watanzania tuko kimya,mimi sifahamu kama huu ujumbe unamfikia.Ningepata nafasi ya kumuona, ningemshauri kwa usalama wa...
  9. S

    CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

    Weraweraaaaaaaa!!Dalili ya mvua ni mawingu. Hakika wananchi wameanza kuelimika,Natamani 2015 umefike hata kesho.Wananchi wamechoka na kejeri za Chama Cha Mafisadi,mara tunajivua gamba,mara posho za wabunge ziongezwe eti maisha Dodoma yamepanda, wakati pale kuna wafanyakazi hawajaongezewa...
  10. S

    Nani keshapata? toa ushuhuda

    Ni habari njema kwa wale waliopata na wakapatana.Hongereni sana kwa wale waliopata, lakini pia kwa wale ambao hatujapapa tuzidi kusonga mbele,kumbe inawezekana, JF iko juu hakuna kumung'unya maneno,asanteni sana wana JF maana na mimi natafuta mchumba (msichana mwenye miaka 22-25),nina imani...
  11. S

    Natafuta mchumba wa kihangaza

    Wana JF, Hakika nimekubali humu ndani ndo kuna mawazo tele yanayojenga.Nawashukuruni kwa wote mliotoa mawazo ya kunijenga,hakika nitayafanyia kazi na inabidi kweli nijichanganye ili nimpate wa kuoa.Lakini zaidi ya yote tuombeane maana mke wa kuoa, si mke tu katika familia, bali ni mlezi na...
  12. S

    Natafuta mchumba wa kihangaza

    Heshima yenu Wana JF, Natambua penye wengi hakiharibiki kitu,mimi nimebahatika kupata elimu ya chuo kikuu na Mungu amejalia nimemaliza degrii ya pili na sasa nafanya kazi.Kipato changu ni cha kwaida nikimaanisha naweza kuyamudu maisha ya hapa na pale ndani ya jiji la Dsm.Tatizo langu ni moja...
  13. S

    Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

    Huo ndio mwanzo, na mwenye akili zake asome nyakati,wananchi wamechoshwa na blaa blaa za hao jamaa, kila kukicha heri ya jana,wanasiasa wa Chukua Chaako Mapema bado wana fikra za kuwadanganya wananchi kama watoto,leo hii hata mtoto wa mwaka mmoja anajua mabovu yote kwa nini tumefikia hapa, chai...
  14. S

    Natafuta mchumba awe Bikira

    Jamani,hodi humu jamvini, nimekuwa nikifuatilia saana magreat thinkers na nimeona nijiunge ili nipate mawili matatu kutoka kwenu,hongereni kwa mawasiliano na ushauri wa kujenga,hakika naomba mnipokee na nitajifunza mengi na kushirikishana yale niliyo nayo! Asanteni
Back
Top Bottom