Search results

  1. F

    Safari ya mwisho ya Yusuf Asukile Seleman

    R.I.P kamanda Asukile Jamani kifo chake kimetokana na nini? Nitakumbuka daima harakari zake za siasa tangu tukiwa chuo cha uhasibu Arusha. Mungu awape faraja wana familia kipindi hichi kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao.
  2. F

    Kuitwa kwenye usaili COASCO

    Mkuu wametoa majia au tangazo tu? na je interview itafanyikia wapi?
  3. F

    Hii Picha ya Mwanachama mmoja humu ndani simtaji kwa jina yeye mwenyewe anajijuwa

    Mtoto wa kijaluo huyo, omera yuko wapi aje kutafasiri hayo maandishi,, niamembulia kidogo tu, nina miaka mingi sijatembelea wajomba
  4. F

    My Uncle, The Love of My Life

    We na uncle wako mmelaaniwa mmrudieni Mungu!! Endelea kushobokea dushelele la uncle wako akishakumimba, sijui huyo mtoto atamwita baba ua babu!!!nyambafuuu
  5. F

    Ufafanuzi: Zitto Hajakimbia Mjadala wa Tuongee Asubuhi leo (LIVE ON Star TV)

    Mkuu ulitakiwa uangalia japo records ya kipindi ili uje hapa kamili kujibu hoja za wanaforum wenzako kama haukubahatika kukiona,tuna mengi ya kukushauri kama wafuatiliaji wa kipindi chenu na wewe ukiwa kama mwakilishi wa star tv hapa jf. Mlianza vizuri sana na mlikuwa na followers wengi wa...
  6. F

    Mtoto.

    Duh mshua ni mbulula square, naye anastahili kichapo toka kwa teacher
  7. F

    Zzk 2013

    Itakuwa huyu mlami kamwambia afuge rasta ndo amkubali
  8. F

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Eroo mkeo anagegedwa huko safarini, na huyo shoga wake anajua mchongo mzima ndomaana kapata ujasiri wa kukutegega na kukunasa kama broiler. Ushauri chunguza udhaifu wa shoga yake kwenye mapenzi na umtege nao atakupa mkanda mzima wa mkeo, hakika ukimkamata vizuri atakumwagia yote....nb wakati...
  9. F

    Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Bibie unaushaidi na unaweza kusimamia kauli yako? au ulishajiona!! Kwa nijuavyo mimi siyo wote wenye mkia mkubwa wana joto, nilishakutana na mmoja kama katolewa kwenye freezer....
  10. F

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    Huyu mbulula mwigulu anapoelekea wananchi watamwadhibu tit 4 tat kwenye mikutano yake coz anavuka mipaka, nidhamu yake ni sifuri....... Je chama chake hakina sera mpya zaidi ya matusi???? Je kibaha hawana matatizo yanayotaka majibu yenye tija toka ccm? Haya matusi next time uje nayo kijenge...
  11. F

    Duuh! Semeni wenyewe II

    Mkuu chibi ukitaka cheep popularity lazima ufanye hivyo, Wakiwa wengi ataanzisha sober house magogoni
  12. F

    CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

    Hakuna aliyeingiwa na hofu ww gamba, ccm inajiandaa kuwa chama cha upinzani 2015 ndo maana wanaangaika na vipropaganda za kipuuzi zinazongozwa na nape kushambulia chama tawala 2015 CDM. Mbinu ya divide and rule ilifanikiwa kipindi cha ukoloni tu, sasa hivi mtagonga mwamba jombaa,, mkileta...
  13. F

    CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

    CDM haiwezi kutingishwa na maneno ya kwenye kanga. Hizi propaganda zitapita na cdm itabaki kuwa imara daima na kutakeover 2015. RIP CCM
  14. F

    Hatariiii!! Mwanaumeeeeeee!!!!

    Mkuu hiyo attachment inatisha!! yaani nimeangalia tu nikaisi dushelele langu limeingia tumboni,,hapo jamaa amebakiwa na kipisi cha shafti na stim zote kwisha!!!
  15. F

    Marafiki wa kweli

    Kwa raha zao!!!
  16. F

    Mbwa akiwa amepiga pamba za nguvu

    HUYU DOG ATAKUWA ANATUMIKA KUONJA CHUMVI KAMA IMEKOLEA,haiwezekani apigishwe pamba namna hii
  17. F

    bunge letu nalo wakishikishana adabu kama bunge la ukraine wataeshimiana

    Hapa kwetu ni mwendo wa kusutana tu!!! Omba muongozo uone makinda atakavyokusuta,kabla hajasimama nchemba kukuchamba
  18. F

    Duuh! Semeni wenyewe II

    Piga kitu mdada,,, Ukishadata Rais JK atakulipia gharama za matibabu then ukamshukuru magogoni./.....
  19. F

    Zitto aipaisha JamiiForums Ulaya!

    Maji marefu na Lameck Airo(Lakairo) watamtafsiria,,,,, HATA KWETU WAPO!!!!!!!
  20. F

    Je, mke wangu ananibaka?

    POLE yako mkuu, angalia wasije kukumegea........, Kosa ni lako inaonekana ulikuwa unamgegeda sana mwanzoni na sasa umepunguza speed, au mtu aliyekuwa naye kabla yako alikuwa akimpa shughuli ya nguvu, POCHI manyoya huwa inatabia ya kukariri kichapo hivyo inatakiwa umaintain kiwango kwani...
Back
Top Bottom