Search results

  1. Mnandi

    Naomba msaada napata shida kutumia ufunguo wa spear wa gari

    Habari zenu wakuu, nina shida kidogo nahitaji ufumbuzi. Miezi miwili iliopita nilinunua gari toka Japan (2001 Land Cruiser Prado) na kwa sasa limeshafika na nimeanza kulitumia. Tatizo ni kwamba, limekuja na funguo mmoja tu ambao ni Master Key. Kwakuwa nina uzoefu wa siku nyingi wa magari...
  2. Mnandi

    Nafasi ya kazi (Pharmacist)

    Mfamasia 'Pharmacist' anahitajika. Pharmacy ipo Boko, Dar es Salaam..Vigezo - (Awe na cheti, Awe mchapa kazi): Tuwasiliane kwa no 0716000222..
  3. Mnandi

    iPhone 5 for sale (590,000)

    iPhone 5 for sale, IOS 7, 16GB Capacity, Black, Factory Unlocked.. 0716-904626, 0767-174757, Arusha..no charger. Package Includes: 1 iPhone 1 Set Screen Protector
  4. Mnandi

    iPhone 5 for sale (590,000)

    iPhone 5 for sale, IOS 7, 16GB Capacity, Black, Factory Unlocked.. 0716-904626, 0767-174757, Arusha..no charger. Package Includes: 1 iPhone 1 Set Screen Protector
  5. Mnandi

    Laptop Core i3

    Natafuta Laptop iliyo katika hali nzuri sana, processor core i3 au zaidi. Budget 500,000/= malipo leo leo kama mzigo upo vizuri. 0716-904626, nipo Arusha!!
  6. Mnandi

    Laptop Core i3

    Natafuta Laptop iliyo katika hali nzuri sana, processor core i3 au zaidi. Budget 500,000/= malipo leo leo kama mzigo upo vizuri. 0716-904626, nipo Arusha!!
  7. Mnandi

    Diagnostic Computer ya magari

    Wakuu wapi ntapata mashine ya Diagnostic kwa huku Arusha? kuna taa ya check engine ya prado imewaka sasa garage niliyoenda leo haina hiyo diagnostic computer. 0716-904626
  8. Mnandi

    Mashine ya Diagnostic ya Gari

    Wakuu wapi ntapata mashine ya Diagnostic kwa huku Arusha? kuna taa ya check engine ya prado imewaka sasa garage niliyoenda leo haina hiyo diagnostic computer. 0716-904626
  9. Mnandi

    iPhone 5S

    habari zenu wakuu. natafuta simu tajwa hapo juu iliyo na specifications zifuatazo. iwe Brand New Sealed kwenye box, 16GB Capacity, color Silver, Factory Unlocked, na ya bei nafuu. kama unayo au unaweza kuagiza kutoka nje kwa bei nzuri tafadhali tuwasiliane ASAP kupitia 0783115545..
  10. Mnandi

    House for Rent at Singida

    A large residential property with all the necessary amenities is available for letting at very reasonable terms. The property has sufficient rooms suitable for use as an Office, Supermarket, Shop, Dispensary or Residence. It can also be converted into a Guest House. Rent: 350,000/= Per Month...
  11. Mnandi

    Microsoft inc. yajitoa kununua kampuni ya simu Nokia (7.17 $Billion)

    Baada ya kushindwa katika game kwa muda mrefu, hatimaye kampuni ya simu za Nokia imedhamiria kuamisha mzigo kwa Microsoft kwa kiasi cha Dola Billion 7.17 (11.8 Trillion TSH).. Microsoft to Buy Nokia's Device Business in Deal Worth $7.17 Billion Correction: An early version of this story...
  12. Mnandi

    Budget ya wizara ya katiba na sheria

    mwenye video za hotuba ya katiba na sheria zilizosomwa leo tafadhali anipe link nilikuwa nayo hapa na sasa siioni. tafadhalini sana
  13. Mnandi

    Samsung, iPhones na Tab 2 bei nafuu

    -Samsung Galaxy Tab 2 7.0" P3100 with ICS 4.0.3 Firmware----- (850,000/=) -Samsung Galaxy S II Skyrocket with Dual Core 1.5GHz Processor v2.3.5 (16GB)------(800,000/=) -Pantech Sky IM-A730S v2.3.5 --------(850,000/=) -iPhone 4 Factory Unlocked 16GB IOS 5.1.1 ----------(750,000/=) -iPhone 4S...
  14. Mnandi

    Playstation 3

    wakuu nina playstation 3 na CD zake kama kumi ila zote za kuazima natakiwa nirudishe jumatano, je nitawezaje kuziBackup kwenye Hard Disk ya Playstation ili niweze kutumia badae? capacity ya hard disk ni 120gb. nashkuru
  15. Mnandi

    IPad 32GB

    iPad 32GB (WiFi + 3G), firmware 5.0.1 application zaidi ya 70 kwa bei ndogo. ni nzuri kwa matumizi ya ofisini, emailing, gaming, social networking na vilevile ni unlocked inaingiza line mitandao yote. nimeitumia ofisini miezi miwili nanusu bado ipo safi sana. bei 720,000/= nitafute (0788745656...
  16. Mnandi

    Iphone 3GS

    nauza Iphone 3GS at 350,000/=, ina 16GB Unlocked, ios 4.3.3,,anaehitaji aniPM tufanye biashara
  17. Mnandi

    Latop Skins

    wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha?? na zinaRange kwenye shilingi ngapi?,,,nashkuru sana..
  18. Mnandi

    Laptop Skins needed

    wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru sana..
  19. Mnandi

    Sports Clubs Laptop Skins

    wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru sana..
  20. Mnandi

    Iphone 3GS for Sale

    nauza iphone 3gs 16gb kwa 400,000/=, used for 1 year haina tatizo na bado ipo katika condition nzuri sana,,inatumia ios 4.3.3 jailbroken and unlocked, with 80 pre-installed Apple Applications, Arusha.
Back
Top Bottom