Search results

  1. fademark

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    This is disgusting..!! How comes, pasi na shaka huyu dada anachanganyikiwa!!
  2. fademark

    Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

    ”anayekomaa”[emoji115]
  3. fademark

    Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

    Sorry, ni ya Sinza pazuri
  4. fademark

    Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

    Kweli, ila sio kusema anayekumaa kivyake analia lia!! Tunahitaji akina Diamond 1000 na zaidi watakao assign wanamuziki kwenye label zao
  5. fademark

    Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

    Sawa reporter, Aslay haitaji mbeleko.. Anakomaa kivyake
  6. fademark

    Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

    Sawa reporter
  7. fademark

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
  8. fademark

    Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

    Yamkini bado hujawahi kumiliki sofa wewe!
  9. fademark

    Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    UTASUBIRIA SANA MANUFAA YA MOJA KWA MOJA. SERIKALI HAIWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, BALI UNATAKIWA UFANYE KAZI. KWAHIYO NDUGU "FANYAKAZI" Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
  10. fademark

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Hivi kwani ni makosa kuunga mkono jitihada chanya za chama tawala ukiwa chama pinzani? Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
  11. fademark

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Acha stori wewe, hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja. Chagua mwingune kati ya wengine wengi ulionao
  12. fademark

    Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Tutavijua lini sasa kama hatuanzi kuvitumia. Mi nadhani hapa kuna tatizo kubwa la nidhamu ya woga, kila kitu ni woga na wasiwasi nini kitatokea. Tupende kujifunza kutoka kwa wenzetu hasa vile tunavyoona vina tija.
Back
Top Bottom