Search results

  1. L

    Mwanamke kudaia arudishe pesa

    Acha ujinga uliambiwa waha ndo tunadai kiwango hicho.
  2. L

    Unaifahamuje pugu boyz' sec/high school?

    Du Pugu yetu, mimi nilikuwa pale miaka ya 1996-1999 nawakumbuka wauza chai za jioni mama Juma na wengine, Babu muuza samaki jina nimemsahau. nzoa, mama wa biology, nakumbuka pia mechi ya Man na Bayarn tulitoroka wengi shule. anywhy shule sasa imechakaa, imevamiwa na wahuni na kuipola ardhi s
  3. L

    Kiwanja kinauzwa kipo MBANDE stand

    naomba bei na tuwasiliane naweza nunua
  4. L

    Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    Mbona sisi Kigoma hatuna chuo lakini tumeshika serikali. uliza katika jf wangapi tunatoka Kigoma uone mambo humu
  5. L

    Tafiti zangu zinaonyesha asilimia kubwa ya wanawake wenye

    We Mwongo, labda ukoo wako ndio unatabia hizo, maana katika kukua kwangu sijawahi ona hayo unayoyasema. Watanzania wengi tunajali utu ha heshima zetu haya unayosema ni tofauti na utamaduni wetu. Research nyingine bwana kazi sana sijui kama unaelewa maana ya research kwani nimesikia watu wengi...
  6. L

    RIP Baba Salutaris Massawe

    I was in Stella Maris Hostel at that day "nikihudhulia semina fulani kuongeza kipato" ilikuwa jioni na no body believed what is happening. kutokujua kuogelea kwa watanzania wengi ni tazizo na tumeona yaliyotokea zanzibar na kwingineko. many of us failed to offer help to him, beach boys nao...
  7. L

    Mimba

    Bila shaka kabisa hiyo ya kwako. many people think a woman can get pregnancy after sexual penetration, this is NO. if u ejaculate in women parts and get access to vaginal fluids then a pregnancy can occur and other women washes man dudu and wash themselves also she may get pregnancy in these...
  8. L

    KILIMI: Kuna ukweli kuhusu hili?

    Be carefully with kids, take necessary precaution to any medication. consult people with who are professional. kama ni kilimi go to Muhimbili they are experts in ENT don't go any other places, they my be experts BUT poor in Anesthesia and equipments
  9. L

    Hey!!!! Pugu Boyz wa enzi zileee na wasasa

    Du wanafunzi wenzangu PUGU BOYS wazee wa fungus kweli miaka imeenda, wenzangu wa miaka ya 97 mtakumbuka neno ''DOCEBIT VOS OMNIA'' lilipoleta ugomvi na wenzetu dini fulani. tutafutane jama
Back
Top Bottom