Search results

  1. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Anatupeleka kwenye Tanzania tuitakayo.......n.a. hakika tutafika huko
  2. K

    Viatu vya ngozi vya kisasa

    Mbona sio vya kisasa
  3. K

    Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    Mtoa mada kama ulikuwepo vile......kumbe umesikia tu...
  4. K

    Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Hilo ni suala la kimaendeleo tumuuge m kono..
  5. K

    Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akifanya majukumu ya Jimbo

    hiyo namba nimepiga anapokea Princes Diana
  6. K

    Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    mbona hata ww ungefanya hivyo, kuwa rais hakumwondolei mtu sifa zingine. .....naamini hajakosea na kama amemlea atakuwa anamfahamu sna na anajua anafaa kwa nafasi hiyo. ....kila la kheri wateule wote fanyeni kazi
  7. K

    Kati ya Marais watatu wastaafu wa Tanzania, nani ni Rais bora na kwanini?

    kwa kuwa waliongoza vipindi tofauti,kila mtu alikuwa bora kwa kipindi chake
  8. K

    Jeshi la polisi jirekebisheni, hivi ndivyo rushwa inavyopokelewa

    nadhan kipindi cha tuwachane polisi kimeshamalizika
  9. K

    Ofisi za Majembe zimezingirwa na polisi muda huu

    watakuwa wanapigwa mnada
  10. K

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    cheo kinaanzia na recruit/Rc, then police constable/ PC
  11. K

    Kinachojiri Bungeni Dodoma leo Mei 12, 2016

    sugu kajitahidi!
Back
Top Bottom