Mkuu wa mkoa wa pwani amefunga shule ya Bagamoyo sekondari kwa muda wa takribani miezi miwili kwasababu ya tofauti za kidini kati ya wanafunzi ambapo wanafunzi waislam walidai shule inawapendelea wanafunzi wakristu.
sasa mpaka muda huu shule haijafunguliwa na wanafunzi wa form six ambao...
hivi mkuu wa mkoa wa pwani Bi. Mwantumu Mahiza anawaza nini kichwani kwake?
kufunga shule ya wanafunzi ambao wanatarajia kufanya mitihani ya mwisho mwezi wa pili mwaka huu maana yake nini, tena mpaka leo shule haijulikani inafunguliwa lini!
watoto wanaosoma mchepuo wa science wako nyumbani...
sijapenda jinsi watu mlivyo na maelekezo yasio na kichwa wala mguu..et akimbie mpaka kunduchi..unaumwa nini...
fuatilia makao makuu ya jeshi kujua lini kuna nafasi na kama una profession yako tayari maisha rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.