Malipo ni hapahapa dunia km alimuonea aliyemfanyia hivyo bac atalipwa nae humu humu dunia, lakn kma alimuonea mnae mhisi kamfanyia, thus imekula kwa Dr mwakimbie anajiita mpinga ufisadi ingali yeye mfuasi wa chama fisad, hawezekani. Km kwel yeye mpinzani asi2mikie serikal corrupt km hii, mawazo 2.
Kwel! kwel ! Hii balaa,niko neutral, jaman jaman hii nchi haiko maususi kwa kuangalia uhai wa wa2, huu ndo miongon mwa udhaifu wa nchi hii tangu enzi za mwal, 2fikiri tu ni wa2 wangap viongozi au wa2 bak wameshakufa katika mazingira ya utata lakn hakuna wa2 walioandibishwa, kwa hy 2sishangae...
Kwan nyerere ni nan? Akimkataa m2 inakuwa ndio msimamo wa kumjudge m2. Acheni fikra za kizamani, lowassa ndio anastahili kupewa nchi hii , mpeni mchawi amlee mtoto km ajamkuza,huu msemo tafakari. Acheni upinzani wa kihehere, ccm hakuna anaweza kuwa rais wa ukwel km e l over
Cjui, kwa kwel research inatakiwa,2siconclude eti pesa, uhandasome inaweza kuwa determinant ya wa2 kucheat kimapenzi, hongera maryina kwa kugundua tatizo, wale researcher 2fanyeni kaz mana hivi vi2 vinatukocost wote km jamii,
Unajua nini mwombe mungu mwanangu ndo mpango mzima alafu fanya urafiki na wasichana wengi esp wale unao wataka ili uweze kusort, hela ndo kila kitu mzee make more frind 2mia hela jaman.
But am stil dauting, kwani before colonial era hatukuwa na nguo wafrika lakn haikuwa shida? Vp huo ndo umagharibi wenyewe kama wazungu wame2tawala hadi kiakili na kiutamaduni, african we don have destination, wacha watu watembee uchi, ck 2kiona tatizo 2takaa meza moja 2ambiane
Noma nilikuwa field pande za misungwi kuna shule ya kata inaitwa mawe matatu kwa naibu wazr fulan watoto wanaenda more 20km per hataelewa kiingereza wajaman?
Ccm hawana hoja jazba tu.kizazi kinacho kuja z even worse hakitasikiliza uchwara na ngonjera za gamba inayoimbwa na ccm na kwa master wao nape na chiligati hawa lazima siasa iwa costi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.