Search results

  1. N

    Umejipanga kabla ya kumpa mimba umendae??

    Nikukubali matokeo na kumuomba mungu akutie nguvu katika changamoto hiyo
  2. N

    Naombeni ushauri/mke wangu "ana sauti" kwangu

    Pole sana,kaka inawezekana mke wako upendo umepungua kwako,jaribu kufanya utafiti wa kina,mlivyoanza mahusiano mpaka hivi sasa kwanini kuwe na mabadiliko lakini usikate tamaa jaribu kuongea naye mkiwa wawili tangu mlivyoanza na kumuuliza kwanini anakuwa hivyo usitumie nguvu jaribu kuwa mpole...
  3. N

    TCU website ina be loaded masaa54 af nothing?¿¿!

    Ni vizuri kuwa wavumilivu mwisho wa mwisho lazima kieleweke japokuwa kila mtu hupenda kupata uhakika wa jambo analolihitaji kwa wakati ,tatizo bongo ilishakuwa kawaida kwenda kwa kusuasua
Back
Top Bottom