na wewe, yule mama anafuga mdudu. anakula mdudu huku kavaa huo mtandio ambao tunauita hijab sasa badala ya kumshutumu kwa kuudhalilisha uislamu sisi tunasifia kuwa alikuwa anatukuza uislam. na wale machangu kule kati wanaovaa hijabu tunatoa kauri ipi? tuache kufuata mkumbo kama bakwata kapewa...

nitakujibu kwa kifupi- kombati ni neno la weupe lenye maana ya MAPAMBANO AU MAPIGANO. Wakati magwanda ni mavazi yanayovaliwa na hao wapambanaji. mapambano hayo yanahusu vita sio mapambano ya mpira(michezo)

Gadaf hana elimu yoyote ya kijamii. Yeye kasoma zaidi elimu ya dini ya kiislam na elimu ya jeshi basi. Nyerere aliomba ajengewe chuo. Gadaf akasema kamata pesa hii jenga msikiti tu. maana yake gadaf alitaka waislam wa tz wawe hawana elimu kama yeye. huyo shekye kwakuwa ni...

LAKINI KWA BIASHARA ZAKO UMEHARIBU. KWA SABABU KAMA KUNA MTEJA MWINGINE ALIKUWA ANA MPANGO WA KUWEKA CCTV KWENYE CHUMBA CHA HOUSE GIRL, AKISOMA HAPA HATAFANYA. HIVYO UTAKOSA MAHELA.

KWELI KUTOA HABARI HIZI KWENYE MITANDAO KIBIASHARA SIO VIZURI. LAKINI HICHO ALICHOKIFANYA HUYO MAMA NI UKATILI DHIDI YA UHURU WA BINADAMU NI UFILAUNI KABISA. YAWEZEKANA ANAPENDA KUMWONA AKIWA MTUPU AU ANA MPANGO WA KUTENGENEZA BIASHARA YA KUUZA CD ZA NGONO. KAMA NI HOFU KUWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.