Search results

  1. Tz-guy

    Maelezo ya kina juu ya umuhimu wa serikali mbili

    Wakuu habari za kazi? Kutokana na Chama cha Mapinduzi kutumia nguvu kubwa ya kutaka uwepo wa Serikali mbili, huenda kuna jambo zuri la Kitaifa ambalo mimi na baadhi ya Watanzania wengine hatulifahamu. Hivyo basi; kama kama kuna mtu anaweza kutoa maelezo ya kina juu ya umuhimu wa Serikali...
  2. Tz-guy

    Jifiche!

    BABU: Mjukuu wangu nenda kajifiche, mwalimu wako anakuja maana hujaenda shule leo. MJUKUKUU: Babu kajifiche wewe maana jana nilimwambia umekufa!
  3. Tz-guy

    Usicheke..!

    Mzee mmoja toka bush ambaye hajui vizuri kiswahili aliingia hotelini ili ale kuku ila alisahau anaitwaje. Kuangalia meza ya pili akaona kijana mmoja kaletewa mayai ya kuchemsha kwenye sahani. Basi akamwambia mhudumu huku akinyooshea mkono yale mayai "NILETEE MAMA YAO"
  4. Tz-guy

    You are so predictable

    Angalia Attachment...
  5. Tz-guy

    Hello Great Thinkers...

    Napenda kujiunga nanyi ili napate maujanjaz..!
Back
Top Bottom