Search results

  1. S

    Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?

    Mtoa mada pole sana kama una mchumba wa hili kabila poleeeee
  2. S

    Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?

    jamani jamani msidanganyike na hawa watu,hapa nilipo najuta kuolewa na msukuma maana napitia jehanamu ya duniani.Ni makatili,hawana utu,hawajui mapenzi ni nini yaani aghhhhhhhhh!!!!!!!!! sifa za kijinga lakini nyumbani hakufafanii na sifa zake, katika mambo ninayojuta kuyafanya hapa duniani ni...
  3. S

    Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

    umebanwa pabaya mkuu siri zote nje .......na shem ndo akiona umekwisha,kuna ukweli hapa mbona unaonekana kupanic,,,,,,una watoto wawili jf unajifanya single kha jamani mungu atusaidie
  4. S

    Women Down!

    kwanza mi naona hawa wanaume hata kupewa kuwa kichwa cha familia hawakudeserve kwa sababu ni wadhaifu na wenyewe huwa wanakiri kuwa ni wadhaifu sasa mdhaifu atakuwaje kichwa cha familia???unakuta kichwa cha familia hakijielewi wala hakijitambui,mlevi mzinzi hajali watoto aghhhhhhhhhhhhhhhh...
  5. S

    Seriously natafuta msichana wa kazi za nyumbani (House Girl)

    Mimi ninaye huyo mwenye sifa zote utakazo lakini najua si kweli unamtafuta kwa kazi za nyumbani bali unataka ummege tu na kumtumia kwa ufuska kwani hata thread yako uloanzisha ya kumfuatilia demu posta dar akakuzingua nilikupasha uache ufuska coz una mke na watoto ukabisha sasa leo...
  6. S

    Ulitumaini uzuri wako

    mkuu nimeshaokoka jina lisikupe tabu
  7. S

    Ulitumaini uzuri wako

    yes yes mkuu,rombo wazima?
  8. S

    Ulitumaini uzuri wako

    mkuu unakumbushwa kumgeukia mungu ,yes ni dada rose huyo,ujumbe umefika kwenu wote
  9. S

    Ulitumaini uzuri wako

    nampenda sana rozi mhando,kila album hakosi kuwaimbia makahaba wageuke waache njia zao mbaya!
  10. S

    Ulitumaini uzuri wako

    shangingi nimeokoka sasa natoa maujumbe tu na nyinyi muokoke!msitishike na ID wapendwa! jamani acheni umalaya ndo ujumbe wangu..............news alert ndo hiyo, na wanaume nao tutawaimbiaje?..........ulitumaini fedha zako ukafanya umalaya....kila msichana aliyepita ulimwona...
  11. S

    Ulitumaini uzuri wako

    Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba.... kila kijana aliyepita ulimwona anafaa awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda.....weweeee wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda ......wako waapi ma handsome mbona sasa unakonda....... hebu sasa piga kelele ulie kahaba....shika kinubi...
  12. S

    Huyu demu vipi? Moyo wangu unaanza kusita japo nimemfukuzia kwa mieze sita!!

    wewe ni fataki,kama unabisha ni pm nisiendelee kukluaibisha hapa jf
  13. S

    Huyu demu vipi? Moyo wangu unaanza kusita japo nimemfukuzia kwa mieze sita!!

    ningemjua huo dada ningemwambia akatae kwa sababu wewe ni fataki,si una mke na watoto wawili wewe?au unadhani hatukujui?khaaaaaaaaaa kaka umalaa utakuua, ukimwi uko likizo au?
  14. S

    Ndio mapenzi yao..ni stress!

    hilo neno,hata mimi huwa najiuliza hata kuwa manage inakuwaje wakiwa wengi au ndo wengine unasaidiwa?aghhhhhhhhhhhhhhhhh ndo maana umasikini hauishi halafu tunalalamika kumbe tunajitakia kwa kuwa na mlolongo wa manamake ,wengine hata nguvu za kiume hazitoshelezi wanaishi kwa viaga ili waonekane...
Back
Top Bottom