Search results

  1. R

    Kazi za Estate officers-TRA

    Jamani nani atujulishe lini wanaita kwa interview maana kuomba Kazi tu ilikua Kazi.TRA badilisheni online application system yenu sio user friend kabisa
  2. R

    Natafuta agent wanaotafuta kazi Nje

    Habari wanajamii Natumai mko poa katika kulijenga hili taifa letu. Mimi natafuta agent wanaotafutia watu kazi hususani Dubai,Oman na Qatar. Nina Degree ya Property and Facilities Management. Certificate in occupational health and safety. NBMM level 3. Zaidi focus yangu ipo zaidi kwenye...
  3. R

    Mk civil & building contractors ltd jobs

    We are looking for a graduate civil engineer,quantity surveyor or an architect to join our company for the ongoing project.FTC holders may also apply.Send your cv to propertysolutiontz@gmail.com
  4. R

    Wanted registered civil engineer

    MK CIVIL CONSTRUCTION AND BUILDING CONTRACTORS LTD.Kindly looking for a registered civil engineer for more information.lets contact at propertysolutiontz@gmail.com
  5. R

    Need to Partner up with a Registered Civil Engineer

    Wadau naomba mnipe ushauri na a way forward. Mimi ni graduate ila si engineer ingawa nimefanya mambo ya construction pale UCLAS. Nimesajili kampuni ya contractors BREla sasa nataka kwenda CRB kusajili. Tunatafuta registered engineer civil engineer ambaye we can partner katika kukamilisha...
  6. R

    Property management job

    Graduate in Bsc in Property and facilities management from Ardhi University(Former Uclas).4+ years of experience in retail stores management is kindly looking for a related job.Please advice/connect me to the developers/Real estate inverstors you know since i can do door to door job...
  7. R

    Internship search

    habari zenu wadau.mimi ni ni muhitimu mpya kabisa nimemaliza pale CHUO KIKUU ARDHI (zamani uclas) degree ya kwanza ya sayansi katika usimamizi milki(Property and facilities management/estate management).Natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea ili kuongeza ujuzi wa vitendo.naomba kuwasilisha
  8. R

    Natafuta kazi/internship property and facilities management

    Habari zenu wakuu? natumai mko poa katika.mimi ni fresh graduate toka uclas(now ardhi university) kozi ndo hiyo property and faclities management degree class lower second.experience kidogo kupitia field attachment nhc.nssf,.please wadau naomba msaada kama kuna mtu anajua kampuni yoyote...
Back
Top Bottom