Search results

  1. mmeku

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Tatzo hujui ukweli kuhusu mizan..tatzo la mizan za bongo..znatofautiana.ukpima kibaha unambiwa iwepungua tone 3 ukifka moRO wanasema imezid 2 ukienda kihonda hapo hapo moro unambiwa ipo sawa..dodoma imezd...sasa jiulize hzo mizan znafanya vp kaz...watu ni rushwa njia nzma..na mwenye gari...
  2. mmeku

    Kufurika viongozi wafanyabiashara CHADEMA; hii ina jenga picha gani kwa chama?

    Rudi nyuma soma history ya viongoz wa mataifa makubwj ..usa. Russia..utajua kuwa marais wao karibu wote ni matajiri na wafanya biashara ila huwa wana declare interest zao ku avoid comflict of interest...ni kama viongoz wetu wa chadema hawafich biashara zao wanalipa kodi husiku wanatoa...
  3. mmeku

    Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

    Ndo maana hata kagame ana2dharau na ku2tukana.... Ha2na maana ya kuona ya maana..ma shwain
  4. mmeku

    Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

    Huwez maliza matatzo duniani hata upewe pesa lundo. huyo baharesa mwenyewe ndugu zake zanza wana njaa. Wamechoka..ila mwanae anamiliki majumba na magari ya kifahari
  5. mmeku

    Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

    M2 mwenye akil ndogo kama wewe ndo anaweza kumpgnga jaydee...hli lpo waz fa ana2miwa kukandamza wasanii wengne...kumbuka enz ya antivirus....fa alihuska kuhujumu wakna sugu...leo fana jayde show zlikuwa 30th may nkasema maybe imetokea bahat mbaya ila last week jaydee kutangaza 2 tarehe 14june fa...
  6. mmeku

    Baada ya SUGU Kupachimba..TBC yarusha habari ya CHADEMA kuhusu Zitto

    Sugu akiwachana magamba na clouds fm.....Mheshimiwa Spika,-sanaa imeendelea ambao wanatumia nguvu waliyo nayo katika jamii na uwezo wao wa kifedha katika kukandamiza maslahi ya wasanii hapa nchini. Katika harakati za kutafuta haki za wasanii hapa nchini, mimi binafsi pamoja na wasanii wengine...
  7. mmeku

    Ruge wa Clouds yuko live kumjibu Jide

    Hana jpya.. anatapatapa 2..kashkwa pabaya..tatzo hajielewi anachongea....n anajua kuwa wao ni .maharamia kwa kaz za waSanii hata huyo diamond cku akimkataa ruge asiwe manager wake.. hatopgwa radion. tatizo hawapend wasani wajitawale..wanataka wawatawale na kuwagawa ili wawa nyonye...
  8. mmeku

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Hawa jamaa ni walafi na zulumati...wana wanyoya sana wasanii na kurudsha x nyuma mzki we2 ona leo hii proffesa j nae hapgwa radion ksa kaimba na jayde...angali anord kayanda alifukuza kazi na ruge sabab alikuwa anatembea na racho mtoto wa tht ambaye ni hawara wa ruge...angalia pale tht ruge...
  9. mmeku

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Mama tunataka majibu juu ya ubomoaji wa hekalu la mh Getrude Lwakatare... maana naona wizara yako ina meno kwa kuboa nyumba za maskini ila kwa vigogo kama waheshmiwa pale mjengon na Serikalin inapata kgugumiz na sintofaham nyngi.... Mama tupe ufafanuzi.....vip kule kunduchi juu ya ujenz kwenye...
  10. mmeku

    Hongereni wananchi wa Singida Mashariki, kwa kutuletea mbunge wa taifa

    Jakaya alilijua swala hila ndo maana 2010 aliwambia ni bora yeye kukosa urahc kuliko lissu kuingia bungeni.... Nimeamin kweli lissu kboko ya magamba....mpaka kieleweke mwaka huu...sema ilitakiwa wabunge wa cdm wote watoke bungeni kumpa support lissu
  11. mmeku

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Zitto ......Well said mkuu nakuamin kila sikuwewe huwa wa kwanza kuwaonyesha njia na ukomavu wa kisiasa naamini kiongoz makin hutoka ndani ya wa2 makini waliotayari kwa changamoto zilizo mbele yao...kaka zito .wewe ni picha nzuri yenye ujumbe mkini kwa vijana wa ktanzani . Nakutakia mema na...
  12. mmeku

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Home of great thinkers....huu ni mtazamo wangu. Mimi ni mmoja kati ya watu wanaopinga hzi harakati za kibepari na kikabila ndani ya NHC. Ikumbukwe nhc si kampuni binafsi bali ni shirika la nyumba la taifa sasa basi ndugu mchechu wma team yake wamekuja na strategic zao za kibepari kwenye mali...
  13. mmeku

    Uchaguzi Mkuu Kenya: Ghasia zaanza Kisumu

    Waluo wamechoka kutawaliwa na kunyanyaswa na wakikuyu.....kwani ni wakikuyu 2 iliandikwa watawale...? huu si ungoz wa kiflme
  14. mmeku

    Happy women's day mmu mates

    Hii sio siku ya wanawake wanaojua model za kila. aina ya simu. Mwanamke kila cku anauliza leo 2nakula bata wap. Mwanamke kla pcha kwenye ig yake anaonekana kwenye nyumba za watu au hotelini kama hana kwao.mwanamke anaekesha coco beach utadhan anataka kuwa baharia. Wanawake wanaoshnda wamelala...
  15. mmeku

    Tanzania bado tutaendelea kuwa na First Lady na si Rais mwanamke

    Hii sio siku ya wanawake wanaojua model za kila. aina ya simu. Mwanamke kila cku anauliza leo 2nakula bata wap. Mwanamke kla pcha kwenye ig yake anaonekana kwenye nyumba za watu au hotelini kama hana kwao.mwanamke anaekesha coco beach utadhan anataka kuwa baharia. Wanawake wanaoshnda wamelala...
  16. mmeku

    Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

    Uwezo mdogo wa kufikiri.....pambanua hoja
  17. mmeku

    Mkangara aingizwa mkenge 'kabang'

    Usimshutu tenga eti ana hekalu...unajua alikuma nan kabla hajaingia tff..ckia njaa zako usilinganishe na mafanikio ya watu na ndo maana cc wa watz 2mawivu wa kijnga..faham mke ma tenga ni mtu mkubwa sana tcra...tenga ni m2 aliejitosheleza. hana njaa za kima wamambura kwa maana hata hi ungwe ya...
  18. mmeku

    Mkangara aingizwa mkenge 'kabang'

    Sisi watanzania 2mamatatizo sana... Hv kwa nin ha2jiulizi kwa nini hawa kina wambura wanangangania tff? angali 2najua kuwa tff ni mahala pakujitolea na si ajira ..sasa 2jiulize kuna ajenda gani ya siri kwa hawa mabwana kutumia nguvu kubwa kiasi hki ili kuingia madarakan.. mi sidhan kama wambura...
  19. mmeku

    Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

    Una uwezo mdogo wa kufikiri.......
  20. mmeku

    Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    True say....tatzo letu wa tz weng we2 wanapenda kukurupuka na kushabkia k2 bla uelewa... na weng we2 ha2jpang kabla ya safari..
Back
Top Bottom