Search results

  1. I

    Kwanini hela ya Kenya ina thamani zaidi, tena mbali kuliko ya Tanzania wakati tumebarikiwa kila kitu?

    Kaka mimi sio mchumi lakini ni kweli fedha ya Kenya kwa miaka zaidi ya 15 imeandelea kucheza kati ya 1Kshs = Tshs 18 - 22. Lakini hiyo haimaanishi uchumi wetu sio mzuri, ila kinachoangaliwa ni thamani ya hiyo fedha inaweza kufanya nini. Kama Mkate mmoja unaweza kununuliwa kwa Tshs. 1,000 ya...
  2. I

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitalipa malimbikizo ya wafanyakazi yote kuanzia 2015 - 2020

    SIO VILAZA KAMA UNAVYOJIFIKIRIA, URAIS NI ZAIDI DHANA ULIYONAYO. MTAWAPATA WACHACHE WENYE UFIKIRI MDOGO KSMA NYIE.POLENI SANS
  3. I

    Uchaguzi 2020 CHADEMA mnatambua wazi mtashindwa Uchaguzi, mmebakiza kuleta visingizio visivyo na mashiko

    Bro, hilo jina lako linakuakisi ulivyo, na akili yako kuna mtu wa kumwibia rais TLS kura, huo ndio urais pekee unaomfaa, sio wa nchi ILIYONYOOKA KAMA TZ. WAPIGA DEAL MMEKATIWA MIRIJA HADI MNSTEMBEZA BAKULI.POLE SANA
  4. I

    Uchaguzi 2020 Kwa kilichotokea kwenye ufunguzi wa kampeni za CHADEMA, bado naamini Rais ni Magufuli tu

    BRAZA NA USOMI WAKO UNAWEKA CLIP YA MWAKA 47, ENZI YA JPM IS ANOTHER , UMEJIDHALILISHA NA UMEIDHALILISHA TAALUMA YAKO.. POLE SANA KAKA. HATA KIPOFU AKIIONA POST YAKO HII, ATAKUSIKITIKIA,,,POLE NA PLOE SANA.
  5. I

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    HII NI SIKU YA UFUNGUZI, NA MAGU MWENYEWE KASEMA WAPO WALIOTOKA MPAKA MTWARA, BCOZ NI SIKU YA UFUNGUZI, ALICHOKISEMA PALE, KILA MGOMBEA UBUNGE NDIO ANAONDOKA NACHO KWENDA KU AMPLIFY HUKO MAJIMBONI. MTAIONA NAMBA MWAKA HUU.. JANA MMEPIMA MAJI YAMEKUWA MAREFU, MMNABADILI GIA ANGANI, KUANZA FUJO...
  6. I

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    LETE ARIAL PHOTO, HATA WANAFUNZI WAKIFOLENI UKIPIGA KWA MBELE WANAONEKANA WWNGI, HAPO MMEFELI, NA MTAFELI SANA. BORA HATA HIZO PICHA FAKE MSIPIGE. MIRIJA YA FEDHA ZA MABEBERU ZINEKATWA. HATUTAKI MUWEKE NCHI YETU REHANI. MLIKUWA MKIWAKUSANYA VIJANA KWA ALFU 5, SASA NDIO TUNAIONA CHADEMA...
  7. I

    Uchaguzi 2020 Uongozi wa CHADEMA ulikuwa sahihi "kuwatimua" TBC katika uzinduzi wa kampeni zake

    HAWATAKATA KWA KUWA WATAFUATA MAUDHUI YA UTANGAZAJI. FULL STOP. MBONA JANA CDM HAWAJAPATA HATA REDIO STATION MBALI YA TV, KWA KUWA WENYE TV WALITOA MASHARTI YA KAMA WATAFUATA MAUDHUI YA UTANGAZAJI , WATAENDA, LKN HAWAKUONESHA KAMA KWELI WATAFUATA MASHARTI NDIO MAANA TV ZOTE ZILIJITOA. HATA TV...
  8. I

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    UNASHANGAA NINI SASA, LEO NI SIKU YA UFUNGUZI, LAZINA WATU WOTE WAWE PALE, BAADA YA LEO, NDIO WATATWANYIKA, WALE AKINA KEMA WALIKUWA PALE, MBONA HAJAKAA KWAKE ARUSHA? NA SIO LEMA TU NA WENGINE WALIKUWEPO WA KUTOKA NJE YA MBAGALA. NDIYO SIKU YA UFUNGUZI HIYO BRO.
  9. I

    Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

    YOU JUDGED IT CORRECT BROTHER, MIRIJA YAO YA KUTAKATISHA FEDHA KWA KISINGIZIO CHA UFADHLI, IMEPUNGUZWA, INGAWA BADO. SASA WATATOA FEDHA ZISIZOKUWA NA JASHO KUWADANGANYIA VIJANA WA KUJAZA WATU KWENYE KAMPENI? WANACHI SASA HAWADANGANYIKI. NA HATADANGANYIKA TENA. WAMEENDA KODI TV STATION...
  10. I

    Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

    Hahahaaa , SASA HIVI NDIO UMEJUA KUWA NI GENGE LA WAPIGA DEAL. HE HAS TO MOVE FORWARD , NA KWA KUWA MUDA WOTE WALIOKUWEPO PALE ULIWATOSHA KUSEMA WALICHOTAKA, LAKINI TURN OUT YA WATU ILIYOKUWEPO, WAMEPIMA MWAKA HUU WANANCHI HAWADANGANYWI, INGAWA WAPO WACHACHE KAMA WEWE NA WENGINE WALIOKUWA...
  11. I

    Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

    Usijidanganye, Picha uliyoweka huku ndio inakuumbua zaidi kwa tunaojua picha zilivyo. UKITAKA JUA HAMNA WATU, ANGALIA HHUYO MTU ALOPIGA PICHA NA JUKWAA LILIPO, HAIZIDI UMBALI WA FENSI YA NYUMBA YA VYUMBA VINNE. NDIO UJUE WATU WANA UCHUNGU NA NCHI YAO. MNASEMA JANA MKITI HANA FEDHA, NI KKWA...
  12. I

    Uchaguzi 2020 Bora CHADEMA mngesitisha uzinduzi wa kampeni kufuatilia hujuma za wagombea wenu kuenguliwa

    Kwani Bwashehe wewe hujui, na unajifanya hamnazo? Kama ndio umepevuka karibuni, unamjua Mzee Mtei ni nani? Kama unamfahamu, basi meza, Ukweli ndio huo, utake usitake ndiyo hivyo.
  13. I

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Uwe nacho mara ngapi, yaani hicho ni kiini machoa cha mchana. Jipeni tumaini la fisi kuvizia nyama ya mlevi... Huyu kweli ndiye awe Mkuu wa Nchi ?👇🏻
  14. I

    Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

    Charity begins at Home, Hayo magari ni kiini macho, mngepeleka hizo GARI HQ YENU, Halafu hizo gari zipigwe picha na background ya jengo. Hq ti inatosha kutuonesha kuwa, mpo kwa ajili ya RUZUKU, LKN SIO KWA KUJIIMARISHA KIONGOZA NCHI. HAMUWEZA KUWA MNAMUANDAA MTU KUCHUKUA NCHI, HALAFU ANAYOKEA...
  15. I

    Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

    Waambie hao hata leo tu waende Kariakoo kwa Wamachinga wawaulize msimamo wao, kwa mwaka huu Wayaongea mengi kujifariji, lkn hakuna threat , labda 2025 nfio wafikirie hivyo.
  16. I

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

    Hivi unamlinganisha na nani kati ya waluochukua fomu? Akina Mpoki? Au X MP? Kuongelea ushabiki sawa, lkn uhalisia sio huo, Wanakigamboni wanachotaka ni JEMBE LA KUTUMIA INFLUENCE NA MISIFA ALIYONAYO, KUTUKIMBIZIA MAENDELEO YA KIHAMBONI. Wanakigamboni tunamsubiri kwa hamu
  17. I

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

    Hizi ni propaganda sizizokuwa na mwelekeo, unaongelea kwa kumlenga mtu as if una bifu naye, Wanakigamboni wanamengi yapo nyuma na wanahitaji mpambanaji, HUYO KIJANA ANAWAFAA SANA KIGAMBONI, Ns atapita, take my word.
  18. I

    Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

    NDOTO ZA MCHANA HIZO,JIPENI MOYO TU. LKN NI HAKI YENU.
  19. I

    Msaada jinsi ya kuinstall Google play kwenye Honor 10 Lite ya kichina

    Habari ya majukumu wana thread, mimi nina Honor 10 lite ya Kichina, tatizo ni kuwa nilimpatia fundi simu ili aweke version ya kiingereza, akasema wamelick bootloader, sasa tynajaribu kuweka hata PLAY STORE ILI NIWEZE KUITUMIA , LKN NIMESHINDWA, NAOMBA KWA ANAYEFAHAMU ANIJUZE. nawasilisha...
  20. I

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    Mkuu za majukumu, hebu nipe ufafanuzi hapa, ni kwamba unatuma fedha Guangzhou au hao jamaa ndio wanafany Coordination hiyo?
Back
Top Bottom