Nili-resit form 4 kwa hiyo nina namba ya S na P. Profileyangu ya HESLB inasoma S. NACTE, TCU na chuo inasoma P. HESLB nimeona nimekosamkopo, reason: NOT applied the loan. Je ni appeal au nikipiga simu tu inatosha,zingatia pia nimamaliza diploma 2011, Naomba ushauri.
Usifadhaike jina lako lipo dada Mariam Ambrose Kawala
Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning (Institute of Rural Development Planning)
KWANI PROFILE YAKO INASOMEKAJE?
nimekupata, ila bado kuna utata hata wewe mwenyewe unauona kwenye maelezo. ngoja tusubiri saa moja lijalo mfumo wao utaanza kufanya kazi, tutapeana feedback
sasa barua itapatikana vipi? wakati wanaotoa admission letter ni chuo, na kwenye system ya chuo jina lako halipo, huoni kama kuna uwezekano saa kumi leo, tusione majina kama kwenye list ya chuo haupo?
Uwezekano ni mdogo, ikitokea chuo hawakukuafiki (kwa kawaida ni nadra), ikitokea hivyo utapewa nafasi nyingine (uchague), labda wengine watusaidie wenye uzoefu zaidi
siyo rahisi kwako kuelewa jinsi gani system yao inavyofanya kazi, utaumiza kichwa bure, kama uko eligible utapata, ondoa shaka.Inaweza experience ya mwingine isifanane na ya kwako.
NACTE: Wameanza kutoa sasa, status yangu inasoma SELECTED but NOT YET CONFIRMED
Pia kuna maelezo haya: Confirmation in progress with named Institution. Please be patient during this process...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.